Mr DIY JF-Expert Member Dec 24, 2016 1,112 2,338 Mar 10, 2024 #1 Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani... Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani... Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
Lazr Member Aug 24, 2022 22 22 Mar 10, 2024 #2 Umeshindaje? nayo haiendi Unaweza kuzani uliyemtumia ana kiburi kumbe wapi? Kuna maneno ili yaende inabidi uandike kifupi au kwa namna nyingine. Wanazingua sana.
Umeshindaje? nayo haiendi Unaweza kuzani uliyemtumia ana kiburi kumbe wapi? Kuna maneno ili yaende inabidi uandike kifupi au kwa namna nyingine. Wanazingua sana.
Lucky Star JF-Expert Member Jul 16, 2017 1,844 3,131 Mar 10, 2024 #3 Hamna lolote wanafanya. Labda kama system yao inatambua maneno ya Kingereza tu. Otherwise hamna jipya
Hamna lolote wanafanya. Labda kama system yao inatambua maneno ya Kingereza tu. Otherwise hamna jipya