Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 152
Heko Mtandao wa Tigo kwani kwa hili mmenifurahisha mimi kama mteja wenu.Huu utaratibu wa Tigo Wekeza ambapo mmeamua kugawa faida kwa wateja wenu kwakweli sina budi kuwapongeza.
Mara ya 1 mlinitumia sh.16,000/= kwenye Tigo Pesa, Mara ya pili sh.14,000/= na mara ya tatu sh.12,000/=.Hakika mnastahili pongezi.Kweli ni Express youself.
Mara ya 1 mlinitumia sh.16,000/= kwenye Tigo Pesa, Mara ya pili sh.14,000/= na mara ya tatu sh.12,000/=.Hakika mnastahili pongezi.Kweli ni Express youself.