Mtandao wa simu wa SMART ni watapeli wakubwa

Mtandao wa simu wa SMART ni watapeli wakubwa

Hii Tanzania bwana!

Kila mtu anafanya analoona ni bora kwake kufanyika...

Mitandao ya simu inasumbua,

Raia wa nchi nyingine mpaka makomandoo nao wanakuja tu na kuishi bila bughudha wala kufuatiliwa,

Ajira watu wanapeana wao kwa wao kama vile wao tu ndiyo wamesoma na wana sifa,

Katiba imekuwa dili, mpaka sasa wameshalamba mamilioni ya TAS huku waalimu wakilamba chaki kila siku..!

Ukijitoa kuwa msamaria mwema na kuripoti uhalifu, basi wewe unakuwa sample...

(napita jamani...)
Excel hilo la uvamizi wa wageni nchini linanikera sana.unakuta watu kutoka nje anaingia nchini kama chooni.tena wengi wao hawana hata shughuli maalum. Wengi hawana nia nzuri hapa nchini. Na serikali imekaa kama mtazamaji tu.
 
hivi pac hawafiki ttcl kuwashauri waachane na hayo ma cdma??! au kuchanganya cdma na gsm kama wafanyavyo zantel.

cc@zitto
 
Mimi waliniuzia line na kuniambia niweke 5000 ili niwexeshwe kupiga mitandao yote kwa mwezi mmoja bila ukomo na smart kwenda smart kwa miezi 6. Lakini cha ajabu nimepiga simu moja na nimeongea chini ya DKK moja simu imeisha salio na CS wao kasema simu yangu haina kifurushi nimempigia huo sales analeta porojo nyingi ati nisubirie muda utakuja sababu ya network
Ni mtandao WA wezi huh.
 
Sasa hivi ni Tsh 100 kwa siku 30 smart kwa smart, na vifurushi kedekede
 
Excel hilo la uvamizi wa wageni nchini linanikera sana.unakuta watu kutoka nje anaingia nchini kama chooni.tena wengi wao hawana hata shughuli maalum. Wengi hawana nia nzuri hapa nchini. Na serikali imekaa kama mtazamaji tu.

Hivi ukiwa ripoti, serikali inasemaje?, tusiishie kuongea tu jamani.
 
mitandao yote inaendeshwa kwa utapeli na hakuna hatua inayochukuliwa watakuwa wamejifunza kwenye mitandao mingine halafu bwana mdogo wizara yake inashindwa kushugurikia ishu ndogo anawaza kuwa rais
 
mitandao yote inaendeshwa kwa utapeli na hakuna hatua inayochukuliwa watakuwa wamejifunza kwenye mitandao mingine halafu bwana mdogo wizara yake inashindwa kushugurikia ishu ndogo anawaza kuwa rais

itakua chain kubwa. wanaanza kuonga juu tcra hadi huku chini... 😱
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom