Jamani naomba kuuliza kuna tatizo gani mbona mtandao wa LUKU haufanyi kazi toka jana hadi leo?
Tumezoea kununua umeme kwenye simu safari hii tumekoma. Hadi uwende kwenye kituo cha TANESCO. Vituo vipo vichache basi tabu tupu
Kwani malipo kwa simu yamesitishwa siku hizi au?!Vituo gani hivyo ambapo huduma inapatikana kwa sasa maana kazi zimesimama hapa ofisi kisa umeme
Tumezoea kununua umeme kwenye simu safari hii tumekoma. Hadi uwende kwenye kituo cha TANESCO. Vituo vipo vichache basi tabu tupu
Kupanga ni kuchagua ...umeamua mwenyewe kukaa foleni.
Zifuatazo ni njia mbadala
1. Mpesa
Wewe kama ni Mteja wa mpesa, tigo zantel au airtel unakaa kitandani kwako unaingia kwenye menyu unanunua umeme unapewa TOKEN na kusimama, elekea kwenye mita yako tia umeme.
FOLENI UMEITAKA MKUU
2. CRDB BANK
wewe kama ni Mteja wa benki ya crdb kuna njia kuu2
i. Ingia menyu yao kwa *150*03# ingia kwenye Akaunti yako nunua umeme then unapata token ukiwa apo apo chumbani kwako.
ii. Tafuta wakala yeyote wa crdb mwambie hela hii apa nataka umeme ...ataingia kwenye machine yake na kukupatia risiti yenye token
Wakala wa hii benki nawaona kila mtaa, mtaani kwetu wapo wa3 ....
Office nyingi za posta ni wakala wa crdb.
Mwisho:
Maxmalipo
Ukiona kibao cha maxmalipo ...ingia wape mita namba, watakupa karatasi ya token.
Njia hizi hazina foleni.
Mwenye swali aulize! Ukikaa folen umetaka mwenyewe.
Ndio namaliza kuwapigia promo Hawa watu!! Sitaki malipo ya promo hii
Mnafikiri kuna hitilafu ......uhuni tu sawa na ule wa benki wa system kutofanya kazi hivyo huwezi kutoa lakini unaweza kuweka tu ............
Kupanga ni kuchagua ...umeamua mwenyewe kukaa foleni.
Zifuatazo ni njia mbadala
1. Mpesa
Wewe kama ni Mteja wa mpesa, tigo zantel au airtel unakaa kitandani kwako unaingia kwenye menyu unanunua umeme unapewa TOKEN na kusimama, elekea kwenye mita yako tia umeme.
FOLENI UMEITAKA MKUU
2. CRDB BANK
wewe kama ni Mteja wa benki ya crdb kuna njia kuu2
i. Ingia menyu yao kwa *150*03# ingia kwenye Akaunti yako nunua umeme then unapata token ukiwa apo apo chumbani kwako.
ii. Tafuta wakala yeyote wa crdb mwambie hela hii apa nataka umeme ...ataingia kwenye machine yake na kukupatia risiti yenye token
Wakala wa hii benki nawaona kila mtaa, mtaani kwetu wapo wa3 ....
Office nyingi za posta ni wakala wa crdb.
Mwisho:
Maxmalipo
Ukiona kibao cha maxmalipo ...ingia wape mita namba, watakupa karatasi ya token.
Njia hizi hazina foleni.
Mwenye swali aulize! Ukikaa folen umetaka mwenyewe.
Ndio namaliza kuwapigia promo Hawa watu!! Sitaki malipo ya promo hii
Hayo yote tunayajua. Ukiona hadi nmekaa foleni jua kuna tatizo.

Nmekupata Ndugu, ila tatizo kubwa ni kua Mtandao unasumbua coz nmejaribu kununua kwa tgopesa, Mpesa na kwenye Vibanda pia imeshndkana hivyo hebu nipe Utatuzi nisije lala Giza na leo!