Mtandao wa IKULU waendelea kuitangaza CCM!

Mtandao wa IKULU waendelea kuitangaza CCM!

Mkuu JokaKuu

Katika aina za ulevi hakuna mbaya kama madaraka. Unajua wamejisahau kabisa kama ni watanzania na wanadamu

Wanafanya kila wanachotaka wakijua Watanzania wawafanya nini!

Hapa ndipo Watanzania wanapaswa kuamka ili siku moja wajutie wanayoyafanya! wanapaswa kujuta siku moja
 
CCM wakisema USHINDI ni lazma hamuamn ila Lowasa akisema haujui msamiati wa kushindwa mnaelewa kweli m'eamua kufata mkumbo basi watu wazima m'ekuwa kama mizigo cpat picha wakati Dr Magufuli akiapshwa sijui Lowasa atakuwa kwa Tb Joshua au kwa Gwajima

Kwa bao la kufungwa kwa mkono na kuwanyima watu haki ya kupiga kura kwa kusema majina yao hayapo kwenye daftari la wapiga kura sawa ila ️km haki itatendeka itakuwa ngumu
 
Jingine hata Ndege na magari wanapokuwa kwenye kumtangaza mgombea ilitakiwa chama kigharamie lakini gharama zinatumika za serikali

Hayo yote inabidi yafikishwe tume ya taifa ya uchaguzi,ingawa najua wanalielewa
 
Hii serikali ni ya kihuni huni tu. Uhuni toka ndani ya CCM hadi Ikulu
 
changia mada husika, achana na chuki zako kwa familia ya Kikwete. mada hapa ni kuchanganya mambo ya chama kwenye tovuti ya ikulu, sasa hapo mama salma ameingiaje? au wewe nyumbu nini mpaka hata mada huelewi.
Kwa hili hakuna namna mkuu maana Rais amekubali kuingiza familia yake nzima nzima kwenye siasa ambacho ni kitu hatari sana so inabidi avumilie tu maana siasa ndivyo ilivyo.ukiwa politician matusi na kejeli haziepukiki acha hatari nyingine mbaya zaidi kama kwa bahati mbaya uongozi ukibadikika hakafu ukawa na fikra tofauti na wewe.mifano ipo mingi sana.ningekuwa mshauri wa mkuu nisingeshauri kabisa kuingiza familia kuingia kwenye siasa wakati yeye akiwa head of state
 
Alisema Urais ni wa kwake na familia yake nawashangaa mnashangaa Ikulu kuweka mteuliwa wa JK kwenye nafasi ya urais kwenye tovuti za Ikulu..Ila kesho mtakuta wamezitoa.
 
Mingapi ya awakes yaa chadema magazetu redio tv zote zinawawekea chadema khasa za wachaga
 
ila wadau mimi napingana kabisa na hili la barabara ya ikulu kupewa jina la Obama. nadhani angepewa hata barabara ya huko mburahati. nadhani barabara ya ikulu ingemfaa sana nyerere kama muasisi wa taifa hili au hata akina chief mkwawa, hasan makunganya, isike na wazalendo wengine walioliifia taifa hili. hivi hakuna uwezekano rais ajaye akabadilisha hilo jina? nauliza.

Hoja yako haiwezi kuwa na uzito kipindi hichi..na sioni mantiki ya jina la obama kutumika
 
Wamechanganyikiwa, sasa hivi wanatafuta njia yoyote ile itakayoweza kuwaokoa toka kwenye kipigo kilichopo mbele yao hata ikiwezekana kutembea na wazazi wao, ikibidi ili kutimiza masharti ya waganga wakidhani kwamba wataweza kupona kutoka katika hasira za Watanzania wanaojitambua!
 
Tutamuomba mheshimiwa lowasa akifikirie hili
itakuwa vema. lakini mmawia nikueleze tu ukweli, chance ya lowasa kuingia magogoni ni ndogo sana. sasa nakushauri ongezea hapo kuwa tutamuomba mh. lowasa au magufuli kulifikiria hili.
 
Matusi na lugha kali haitokusaidia kitu zaidi ya kujishushia hadhi hapa jamvini,kwani ukiongea bila kutukana hautoeleweka?
nani kakuambia natafuta hadhi hapa? yaani nitafute hadhi kwa watu nisiowajua na wasionijua? labda kama ninamatatizo. hhapa FACTS tu ukikosea unapewa za uso maisha yanaendelea.
ila wewe endelea kutafuta hadhi!
 
Kwa hili hakuna namna mkuu maana Rais amekubali kuingiza familia yake nzima nzima kwenye siasa ambacho ni kitu hatari sana so inabidi avumilie tu maana siasa ndivyo ilivyo.ukiwa politician matusi na kejeli haziepukiki acha hatari nyingine mbaya zaidi kama kwa bahati mbaya uongozi ukibadikika hakafu ukawa na fikra tofauti na wewe.mifano ipo mingi sana.ningekuwa mshauri wa mkuu nisingeshauri kabisa kuingiza familia kuingia kwenye siasa wakati yeye akiwa head of state
nawaona akina joji bush wakiwa madarakani wakati hata baba yao akiwa rais. na sasa hivi kuna uwezekano rais ajaye ni jep bush baada ya obama. sijui kama utanisoma hapo. riziwani hakujiweka kuwa mbunge wa chalinze. bali aligombea na kushinda kwa kura. wala salma hakujiweka pale nec. ameenda kupambana huko kusini kwa kupigiwa kura. kama ni wakulaumiwa sio Kikwete bali waliowapigia kura. labda kama utaniambia waliiba kura. nadhani riz alipata nearly 90% akimzidi mgimwa aliyepata 80%. kuna wakati mwengine kulaumu tu kila kitu hakuna maana.
 
Matusi na lugha kali haitokusaidia kitu zaidi ya kujishushia hadhi hapa jamvini,kwani ukiongea bila kutukana hautoeleweka?

Eti huyu nae ni greathinker!masikini wa AKILI sasa nyumbu ndio akinanani?ameshindwa kuwaita kinana na nape nyumbu ameona kila anaechangia mada ndio nyumbu bure kabisa.
 
Hoja yako haiwezi kuwa na uzito kipindi hichi..na sioni mantiki ya jina la obama kutumika
sijasema hiyo ni hoja ya kupigia kampeni. na huyo atakayetumia hoja kuwa nitabadilisha majina bila shaka atakuwa na matatizo. nisome vizuri nilichomaanisha.
 
itakuwa vema. lakini mmawia nikueleze tu ukweli, chance ya lowasa kuingia magogoni ni ndogo sana. sasa nakushauri ongezea hapo kuwa tutamuomba mh. lowasa au magufuli kulifikiria hili.

Kwa kipimo ulicho tumia kumpa chance ndogo lowasa kuingia ikulu kitumike vilevile kwa magufuri kuingia ikulu,
 
JokaKuu, CCM ni chombo kinachokwenda mrama. CCM inazama na kujaribu kushikilia hata maji ikihaha kujiokoa. CCM inaweweseka, haina tena namba; angalia watu wake wanavyohangaika hadi humu JF.

CCM na mgombea wake Makomeo hawauziki na wametambua hivyo. Sasa wamevamia hadi Wikipedia wakitafuta mlango WA kutokea...wamesahau funguo zilipo na hata wangejua ziliko hawapewi ng'o!

Wamechanganyikiwa haswaaaa!
 
Last edited by a moderator:
katika kipindi hiki ikulu yetu imetumika vibaya sana kwa maslahi ya chama tawala badala ya maslahi mapana ya taifa letu..
 
Back
Top Bottom