..wiki chache zilizopita tulitoa tahadhari kuhusu taarifa za vikao na mikutano ya CCM kuwekwa ktk mtandao wa ikulu. ilikuwa faraja kubwa kuona kwamba wahusika walifanya marekebisho ya haraka kuondoa tatizo hilo.
..lakini kitu cha kushangaza ni kwamba wiki hii tena hali hiyo imejirudia tena. mtandao wa ikulu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Ikulu umeweka picha za vikao vya CCM pamoja na picha za mkutano wa kichama ambao unamhusisha mgombea Uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli.
..mimi nadhani hii ni kasoro kwasababu taarifa za shughuli za vyama vya siasa hazipaswi kuwekwa ktk mtandao wa kiserikali ambao ni wetu wa-Tanzania wote.
..nawaomba wana-JF wenzangu ambao mnapenda haki na usawa hapa nchini muwatafute wahusika wa ikulu na tcra ili hali hii ya upendeleo wa waziwazi kwa CCM isitishwe.
..anwani za wahusika zinapatikana ktk mtandao wa ikulu nazo ni hizi hapa:
Ofisi ya Rais Ikulu,1Barabara ya Barack Obama,11400 Dar es salaam
Simu : 0222116898Simu : 0222116900/6
Nukushi: 0222113425/2116910/2117272
Barua pepe : ikulu@ikulu.go.tz
..anwani za ofisi ya katibu kiongozi ambazo ziko kwenye mtandao wa ikulu ni hizi hapa:
Ofisi ya Rais Ikulu,1 Barabara ya Barack Obama,11400 Dar es Salaam.
Simu : 0222116898
Simu : 02222116900/6
Barua pepe : Tovuti : chiefsecretary.go.tz
..anwani za tume ya taifa ya mawasiliano zinazopatikana kwenye mtandao ni hizi hapa:
The Director General
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
Mawasiliano Towers
20 Sam Nujoma Road
P.O Box 474
14414 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2199760 - 8; +255 22 2412011 - 2
Mob: +255 784558270 - 1
Director General Direct Line +255 22 2199769
Fax: +255 22 2412009 / +255 22 2412010
E-Mail: dg@tcra.go.tz
NB:
..nadhani suala hili linapaswa kupelekwa hata kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi, pamoja na ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.