Wakuu naomba kuuliza hivi unaweza kuapply mkopo kwa kutumia simu ya mkonon au mpaka uende kweny laptop ??? Samahani naomba msaada maana nimechelewa harafu hela sina kama inawezakana ni apply tu hata kwa simuu
Muda wote ulikuwa wapi. Fungua account mapema ili deadline ikifika uweze kuendelea. Simu unaweza kutumia mwanzo mwisho mpaka utakapofikia hatua ya kuprint tu. Kazi kwako
Jamii tunahitaji kukamilisha taarifa zetu katika mtandao wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu lakini mtandao huu haufunguki .au huko kwenu vipi unafunguka?
Unaweza, lakini hakikisha unatumia chrome ambayo umei update, tofauti na hapo utapata Shida... Komaa kijana wenye bodi Yao wanafunga dirisha kesho.....
Mpka tar 23 process ni ndefu kijana
Nisikutishe
Andaa ela za kuprint kama elfu 4.
Andaa ela ya paspot size hapa za watu wawili
Andaa ela ya wakili buku tano
Andaa ela ya kutuma posta buku nane na mengineo