Mtandao wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Wakuu naomba kuuliza hivi unaweza kuapply mkopo kwa kutumia simu ya mkonon au mpaka uende kweny laptop ??? Samahani naomba msaada maana nimechelewa harafu hela sina kama inawezakana ni apply tu hata kwa simuu
 
Muda wote ulikuwa wapi. Fungua account mapema ili deadline ikifika uweze kuendelea. Simu unaweza kutumia mwanzo mwisho mpaka utakapofikia hatua ya kuprint tu. Kazi kwako
 
Jamii tunahitaji kukamilisha taarifa zetu katika mtandao wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu lakini mtandao huu haufunguki .au huko kwenu vipi unafunguka?
 
Kwani wametoa hiyo Order ya kubadilisha??? Info zake hubadilishi tu kama unavyobadilisha chupi mzee
 
Duuh yani deadline. watu ndo mna kumbuka kama kuna BOOM any way mko wengi sana itakua ime JAM
naijatwittersavages-20190814-0001.jpeg
 
Unaweza, lakini hakikisha unatumia chrome ambayo umei update, tofauti na hapo utapata Shida... Komaa kijana wenye bodi Yao wanafunga dirisha kesho.....
 
Mpka tar 23 process ni ndefu kijana
Nisikutishe
Andaa ela za kuprint kama elfu 4.
Andaa ela ya paspot size hapa za watu wawili
Andaa ela ya wakili buku tano
Andaa ela ya kutuma posta buku nane na mengineo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom