K koryo JF-Expert Member Jun 21, 2010 639 276 Jul 12, 2016 #1 Mimi ni mteja wa Airtel niko hapa Mwanza. Tangu muda wa saa sita na nusu ninapopiga simu ya Airtel ninajibiwa NO NETWORK. Nawauliza wana JF na ninyi mnaotumia mtandao wa airtel,mna matatizo kama ya kwangu?.
Mimi ni mteja wa Airtel niko hapa Mwanza. Tangu muda wa saa sita na nusu ninapopiga simu ya Airtel ninajibiwa NO NETWORK. Nawauliza wana JF na ninyi mnaotumia mtandao wa airtel,mna matatizo kama ya kwangu?.
Shida na raha JF-Expert Member Aug 8, 2014 3,774 3,460 Jul 12, 2016 #3 Maswali mengine bhana yanachosha, sasa watu wote waliopo Mwanza mpaka humu jf?