Mtandao wa Airtel Mwanza una tatizo au ni simu yangu tu?

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Mimi ni mteja wa Airtel niko hapa Mwanza. Tangu muda wa saa sita na nusu ninapopiga simu ya Airtel ninajibiwa NO NETWORK. Nawauliza wana JF na ninyi mnaotumia mtandao wa airtel,mna matatizo kama ya kwangu?.
 
Back
Top Bottom