Mtandao umezikwa rasmi leo

Mtandao umezikwa rasmi leo

slimdr

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Baada ya kuapishwa magufuli leo ni wazi ule mtandao wa wanamtandao walliopanga mikakati ya kumyingiza jk ni wazi sasa unapumulia mashine. Lile kundi la Mkapa limerudi rasmi..
 
Bila mtandao Magufuli hawezi fanya kazi
 
Aanze na usalama wa taifa uliolinda Nyerere watamwambia nani anafaa na nani nyoka''
 
Baada ya kuapishwa magufuli leo ni wazi ule mtandao wa wanamtandao walliopanga mikakati ya kumyingiza jk ni wazi sasa unapumulia mashine. Lile kundi la Mkapa limerudi rasmi..
amteua George Masaju kuwa AG!
 
Baada ya kuapishwa magufuli leo ni wazi ule mtandao wa wanamtandao walliopanga mikakati ya kumyingiza jk ni wazi sasa unapumulia mashine. Lile kundi la Mkapa limerudi rasmi..

Msimalize maneno yote.... Safari ndiyo kwanza inaanza!!!
 
amteua George Masaju kuwa AG!

Masaju sisi hatuhusu. Nadhani huyo ni kwa manufaa yake na jinsi ya kusimamia mambo ya sheria serikalini na mambo hayo mengi yanazungumzwa bungeni. Kwa hiyo hana vha ku deliver kwa wananchi si jimboni wala si katani!
 
mtandao umezikwa? ni wa kampuni gani? ccn walikuwa na mtandao wao, mimi sijawahi kuona laini zao au ni wa wayalesi? watu wanasema mitandao inabadilika tu sijui kweli......
 
Mafisadi wanakimbiana sasa. Na bado

Magufuli mwenyewe uozo; but, since the birds of the same feathers flocks together I expect JPM to appoint peope like himself! People without calibre and integrity.
Maskini Tanzania,sintoshangaa tukakumbuka Enzi ya mkwere. Jpm hana exposure na international affairs and he's completely naive to handle diplomatic issues.
 
Bila mtandao Magufuli hawezi fanya kazi

Ni kweli Baba vinginevyo atageuka dictator kama hatofata protocl. Rais gani asemaye hapa kazi Tu wakati kazi alizofanya ziko ziko chini ya viwango?
Alielekezwa namna ya kusimamia zoezi la uuzwaji WA nyumba za serikale, kila ndugu yake aliziwa nyumba kwa bei ya peremende.
Watanzania tutajuta kwa kupata rais huyu!
 
All negative comments about the new president I call them useless and it shows inferiority complex after the demise of the so called UKAWA. The man has just taken an oath to start his job and yet somebody who doesn't know what Diplomacy is start to criticizes. My advice to you is that you should just keep your mouth shut and let the man work. It was the same in 1995 when Mkapa got into power but later people realized that the man was smart. The election is over and forget about EL because he is no longer
 
Acheni kumchafua Rais wetu. Taja ndugu yake 1 tu aliyemuuzia nyumba ya serikali kwa bei ya peremende. Mkiishiwa hoja mlale sio kuongea ngera hapa
 
All negative comments about the new president I call them useless and it shows inferiority complex after the demise of the so called UKAWA. The man has just taken an oath to start his job and yet somebody who doesn't know what Diplomacy is start to criticizes. My advice to you is that you should just keep your mouth shut and let the man work. It was the same in 1995 when Mkapa got into power but later people realized that the man was smart. The election is over and forget about EL because he is no longer
mkuu mwenzio kaandika kiswahili, haya tutafsirie, hiyo ligha uliyotumia
 
Back
Top Bottom