Mtandao mpya wa simu za mkononi

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,120
3,347
Kuna network mpya ya simu inasomeka pale unaposearch available networks kwani simu inaitwa Hits tena ina 3G internet. Hii nimeiona Moshi, Tanga, Pwani, Morogoro na Dodoma (haya ni maeneo niliyopita). Je, ni vietel wameanza kwa staili hyo au? Anayejua atujuze.
 
Wataalamu wacomputer networks watafuatilia lakini unafaulu kuregister kujisajili kwenye hiyo network hits
 
Wataalamu wacomputer networks watafuatilia lakini unafaulu kuregister kujisajili kwenye hiyo network hits

Utajisajili vipi bila sim card yao? Ukishaona hiyo network ipo maana yake ukatafute SIM card yao ndio ujisajili.
 
Back
Top Bottom