Nimejaribu kutaka kujisajili na huu mtandao lakini nimeshindwa kutokana kutokuona sehem iliyoandikwa sign in ..sign up n.k. sasa kwa anayefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huo mtandao atujuze
Lugha ni ngumu au? mwanzo kabisa imeandikwa "Ello is invite only". na chini kuna sehemu ya Request An Invitation, hivyo click hapo kuna sehemu utaingiza email yako usubiri ualikwe.