Kuna kile kipindi cha Eda waumini wa kiislamu wanakifahamu vyema ambapo mwanamke mfiwa ama mjane utakiwa kukaa miezi3 kwa heshima zote na tahadhari kama kumuenzi mmewe na kutokufanya mabaya yoyote, ila katika kipindi hiki kuna baadhi yao uamua kwenda kinyume zaidi na hari hiyo na kupelekea matatizo kwenye jamii husika,kwangu namwona ZZK kuwa kama mwanamke wa staili hiyo