Mkuu duh umenivunja tumain kbs maana hiyo vidacom ndio shida kabs! Na ninaishi karibu kbs mnara kama km 1.5 hivi. Unakuta signal bar imejaa kbs lakini inaandika E badala ya 3G hapo net kuipata ni ishu sana. Anyway asante kwa ushauri wako
Siyo kila mnara una 3G.
Naomba nisaidiwe cellular network gani ina reliable signals za internet? Maana vodacom naona ni shida mnoo, huwa najiunga 30days plan kwa 25,000/=. Toka day 1 mpk ya 30 hakuna tofauti ya data trafficking inakua ya kukatika na kuja mda wote.
Je kuna mtandao mbadala ninaoweza pata signals za internet vizuri bila interruption? Hata km ni premium price kwa to plan zao please nisaidieni.
Asante
Mkuu duh umenivunja tumain kbs maana hiyo vidacom ndio shida kabs! Na ninaishi karibu kbs mnara kama km 1.5 hivi. Unakuta signal bar imejaa kbs lakini inaandika E badala ya 3G hapo net kuipata ni ishu sana. Anyway asante kwa ushauri wako
Zantel kiboko yao