Mtambuzi safarini LUSHOTO-Picha za Matukio...........!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Wakuu nilko huku kwa shughuli za Kijamii...............

Hapa tunachimba dawa....

Nimefikia hapa, Hotel hii ina mandhari nzuri sana


Viunga vya mji wa Lushoto

Hapa panaitwa MLALO

Mwenyeji wangu Shemweta akikatiza mitaa ya Mlalo na rafikiye

Hapa niko kwenye Gulio la Mwikozi

Soko la kwa Sunga Tanga


Nikahudhuria mechi ya hisani

Mzee Mtambuzi mwenyewe namba tisa mgongoni



Nikifotolewa picha ya pamoja na mheshimiwa mgeni rasmi

Timu pinzani Malindi FC, tuliibabua 3 kwa 1

Taifa la kesho, watoto hawa walifurahi kukutana na mzee Mtambuzi...

Lushoto kuzuri bana, hebu cheki bonge la house kama mtoni vile...!

Kesho nitaweka picha zaidi za matukio yaliyojiri huku Sambaani kabla sijarusi Dar
 
Mtambuzi lazima wewe ni huyo hapo mwenye trakisuti ya bluu.....wa pili kutoka kulia....
btw....naomba nikutume kwa Shemahonge....kuna mafenesi yangu amevuna kakosa jinsi ya kunitumia......
Umemhisi kwaajili ya hilo tumbo nini?...huenda ikawa aisee!..Kwa tumbo hilo alikuwa na haki ya kutukwepa alipokuja kwa Moromboo kula nyama za Mbuzi!
 
Mhhh kwani mdau wewe ni mwanadarisalama??maana me sioni vizuri kwenye hiyo picha ya pamoja.
 
Mtambuzi lazima wewe ni huyo hapo mwenye trakisuti ya bluu.....wa pili kutoka kulia....
btw....naomba nikutume kwa Shemahonge....kuna mafenesi yangu amevuna kakosa jinsi ya kunitumia......

Preta nimecheka kweli kweli, eti mafenesi kwa mzee Shemahonge.........LOL, nikitoka huku kesho natia timu Arusha nitafikia pande za Mrina, Bar tutafutane.
Mimi ni huyo mwenye Track Suite Nyekundu................LOL

halafu ka kawaida makamuzi Kwa Moromboo
 
Shemahonge wa pale kwenye kona, namjua sana yule mzee hata watoto wake Shengwatu ni famili wenye upendo. Likifika hilo fenesi nipatie kidogo nami nijikumbushe.
 
Shemahonge wa pale kwenye kona, namjua sana yule mzee hata watoto wake Shengwatu ni famili wenye upendo. Likifika hilo fenesi nipatie kidogo nami nijikumbushe.
wenyewe wanasema, Mishi ya nema iza shia.............! hakuna mafenesi bana
 
Nimepata Kigoli huku wa kupitsha naye usiku.................
Hiki kibaridi cha huku Sambaani hakifai kabisa kuupitisha usiklu peke yako.............naamini hii maneno itaishia hapahapa JF yasije mfikia mama Ngina.
 
Kusema ukweli Lushoto iko poa mazingira yake yanatoa hamasa ya kuishi kama mamtoni vile.Nilipata kasafari kamoja ka kikazi nikafikia pale LUSHOTO executive pale mjini pembeni ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya nili-enjoy sana. Evening walk na Jogging vinafaa sana maeneo yale mpaka nikapenda mazoezi.
Bila shaka uli-enjoy mkuu Mtambuzi na kama ulifika kule milimani(naona kuna picha ina kaukungu hapo) basi burudani kabisa.
 

Mkuu hapo kwenye red, unamaanisha IRENTE au VIEW POINT? Mimi pia nitakuwa na safari ya kwenda huko wiki mbili zijazo na natarajia kufika maeneo hayo! Vipi hali ya hewa kipindi hiki? Si unajua ukitoka Dar kwenye TANURU, sehemu nyingine unajiona kama uko kwenye jokofu au mochwari?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…