kwanza niombe Mods wasiutoe huu uzi hapa mmu kwa heshima ya
Mtambuzi katika jukwaa hili.
Pili naanza kuwaamsha wana Mmu wote tuanze kazi mapema kwa ajili ya kumkaribisha kichanga wetu siku ya leo. zifuatazo ni kazi za leo
King'asti mtoto mkubwa wa mzee
Mtambuzi wewe utakaa nyumban kupokea wageni na kuwasaidia wakina mama watakaokuja kumsaidia mamam ngina kazi.
jeneneke,
Smile,
Preta sweetlady nyie mtashughulika na kupiga nguo za mama ngina na za kichanga pasi mhakikishe mmezipanga vizuri. mwanangau
Ronn M, ukisadiwa na wajomba zako
platozoom Eiyer,
Mentor,
Excellent mtafunga baby Cort na kaauhakikisha imekuwa stable mtoto asije anguka.
cacico, @fp, wakiongozwa na
ASHA dii hawa watamkanda mama mtoto maji ya leo siku ya kwanza baada ya dr
MziziMkavu na dr riwa kumpatia discharge leo saa mbili.
kuhusu mapish
BADILI TABIA akisaidiana na
charming lady na
eversmilinggirl watahakikisha kuko sawa. mwl mwenzangu
snowhite wewe utahakikisha mambao yote yako sawa hapo nyumban manake mie si unajua sitoweza kuepo bado nauguza?
akina dada wengine wote kila mmoja abebe ndoo yake aende kumtekea maji manake tabata kuna shida ya maji sana.msichelewe wapenzi kuanza kazi mapema.
BAK na
Boflo nyie mtampiga mtoto picha na mzee wetu
Dark City na
Asprin asali ya moyo ya wengi nyie mtahakikisha mnawah mnadani vingunguti kuleta mbuzi safi wa supu ya mzazi na hapa mchinjaji ni ma swtlo
Kaizer akisaidiwa na
Mr Rocky.
wakaka wengine wote hakikishen kwamba
Mtambuzi anapata kampani ya kutosha manake aliugua sana toka jana utafikiri yeyey ndo alokuwa anataka kuzaaa so mpeni liwazo la kutosha na hapa kaka mkubwa
SnowBall usimamie hili.
asubuhi njema mie ntakuwa napita tu kuangalia kama kazi zimeenda sawa.