Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,682 Aug 7, 2019 #41 Extrovert said: Unamtia kindimu sio ,,, naku approach seriously mara ya kwanza, kuanzia ya pili i do it for fun. Hawa wenzetu wanaotongoza miaka sijui wanawezaje, niwape hongera tu. Click to expand... Ahahaha upo kama mimi nkishatuma maombi mara moja inatosha sana nikirudia nakua sipo serious kabisa ila kuna wale wa kuwatamani unakomaa ad ufanikiwe.
Extrovert said: Unamtia kindimu sio ,,, naku approach seriously mara ya kwanza, kuanzia ya pili i do it for fun. Hawa wenzetu wanaotongoza miaka sijui wanawezaje, niwape hongera tu. Click to expand... Ahahaha upo kama mimi nkishatuma maombi mara moja inatosha sana nikirudia nakua sipo serious kabisa ila kuna wale wa kuwatamani unakomaa ad ufanikiwe.
K kombe22 Member Joined Feb 4, 2016 Posts 61 Reaction score 91 Aug 7, 2019 #42 Huo muda hua Sina mwanamke akinizingua zaidi ya Mara nne hua sipotezi muda wa kuhangaika nae mana ninamambo mengi ya kufanya Kendrick said: Mkuu, hawa vijana wa siku hizi ambao wanawaza kupiga na kusepa sidhani kama wana huo muda. Jamii imeharibika sana Click to expand...
Huo muda hua Sina mwanamke akinizingua zaidi ya Mara nne hua sipotezi muda wa kuhangaika nae mana ninamambo mengi ya kufanya Kendrick said: Mkuu, hawa vijana wa siku hizi ambao wanawaza kupiga na kusepa sidhani kama wana huo muda. Jamii imeharibika sana Click to expand...