Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Nikaab...hatuwezi kujugde coz dini inahusika looool!je wanaovaa kininja kabisa?
Nikaab...hatuwezi kujugde coz dini inahusika looool!je wanaovaa kininja kabisa?
huyo wa pili hatoshelezwi au?
Nifafanulie sijaelewa
Umeelewa ila hutaki kuelewa, tumuulize mleta mada mwanaume anatamani maziwa kwanza ndipo anatangaza mdoa au anamaanisha nn
mimi sioni tofauti ya hao, maana wote wanavaa kama wanawake SINGLE.... Wanaobisha wanyooshe vidole....!