Mtambue mwanamke mzuri na mrembo.

Mtambue mwanamke mzuri na mrembo.

Mwanamke mzuri na mrembo huwa na mkusanyiko wa sifa zifuatazo:

Awe na heshima
Asiwe malaya
Awe msafi wa nguo na mwili
Awe na sura ya kung'aa
Awe mpole kiasi
Awe mjasiri
Asiwe mlevi
Asiwe na Tamaa kupita kiasi
[/QUOTE]

Zote zipo huyo ya bold ni starehe
 
Wanawake ni wengi sana katika dunia tunayoishi, semi nyingi zimetawala juu ya mwanamke mzuri. Upo usemi unaosema wanawake wazuri bado hawajazaliwa, wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia na wengine husema uzuri wa mwanamke ni sura basi mambo ni vurugu tupu.

Uzuri wa mwanamke ni mchanganyiko wa vitu vingi, mwanamke mzuri namfananisha na kanga nzuri nyeupe lakini ikiwa na doa kidogo inapoteza uzuri wake. Hivyo ili iendelee kuwa safi lazima ihakikishe haina doa hata kidogo vivyo hivyo na upande wa mwanamke ili awe mrembo na mzuri lazima asiwe na doa hata tone.

Mwanamke mzuri na mrembo huwa na mkusanyiko wa sifa zifuatazo:

Awe na heshima
Asiwe malaya
Awe msafi wa nguo na mwili
Awe na sura ya kung'aa
Awe mpole kiasi
Awe mjasiri
Asiwe mlevi
Asiwe na Tamaa kupita kiasi
Awe na mapenzi ya dhati.
Awe na huruma.
Awe mkarimu kwa ndugu wa pande zote.
Asiwe mchoyo.
 
Wanawake ni wengi sana katika dunia tunayoishi, semi nyingi zimetawala juu ya mwanamke mzuri. Upo usemi unaosema wanawake wazuri bado hawajazaliwa, wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia na wengine husema uzuri wa mwanamke ni sura basi mambo ni vurugu tupu.

Uzuri wa mwanamke ni mchanganyiko wa vitu vingi, mwanamke mzuri namfananisha na kanga nzuri nyeupe lakini ikiwa na doa kidogo inapoteza uzuri wake. Hivyo ili iendelee kuwa safi lazima ihakikishe haina doa hata kidogo vivyo hivyo na upande wa mwanamke ili awe mrembo na mzuri lazima asiwe na doa hata tone.

Mwanamke mzuri na mrembo huwa na mkusanyiko wa sifa zifuatazo:

Awe na heshima
Asiwe malaya
Awe msafi wa nguo na mwili
Awe na sura ya kung'aa
Awe mpole kiasi
Awe mjasiri
Asiwe mlevi
Asiwe na Tamaa kupita kiasi
Awe na akili darasani hyo uliisahau
 
kikubwa asiwe mvivu na asigawe asali yangu ovyo ila Mbali na yote bwana ajue kujali tumbo langu kama hajui kupika ndio namdiscolify kabisa hata kama anamsambwanda kama Minaj, ndio maana nyumba nyingi House maids wana megwa sana na baba wenye nyumba coz kila kitu yeye, kumfulia baba yeye, kupika mpaka mzee anajilamba yeye, kumuwekea maji bafuni yeye sasa mke kazi yake nn hapo, ila all in all hakuna asie kuwa na kasoro kinachotakiwa ni kumjua kasoro yake ile muweze ishi vyema coz ni heri jini ulijualo kuliko malaika usiyemfahamu
 
d0394f4ed5fe3979e5bb91894fca8f0b.jpg

hawezi kuwa huyu kweli?
 
Back
Top Bottom