Nawewe unaamini Mungu hayupo?
Safi sana mkuu... ubarikiwe na Mungu aliye hai.Sahihi. Kwa sababu naamini unazungumzia watumishi wa kikristo, nadhani inabidi liangaliwe kwa upana wake. Mtumishi kwanza amjue Yesu na kumwamini. Hayo mengine yooote yanajirekebisha. Kwa sababu Yesu akishaingia ndani yake anamfanya kiumbe kipya, basi anakua na upendo, heshima, utii, na matendo yake yote kwa ujumla yanabadilika.
Kwa ambaye hamwamini Mungu, mara nyingi sio vizuri kudebate. Kwa sababu Roho huwapa ufahamu wa uwepo wa Mungu watu wote hapa duniani. Kwahiyo hata kama anapinga, ila ndani yake, nafsini mwake anakua hana uhakika. Ndio maana wengi wanakua wanapenda sana kudebate au kuargue na kudefend points zao.
Ila wewe kama mkristo kwa sababu una uhakika na Mungu wako, relax. Kama umemwambia mtu habari njema, umempa resources zote za kutambua uwepo wa Mungu, na bado anakataa. Unamwacha.
Hata mtume Paulo alisema hivyo.
Cha msingi usiache kuongea kuhusu Mungu, lakini usifikie hatua ya kubishana, inakua kama kupoteza wakati, while kuna wengine wengi wapo tayari kuskiliza.
Hii ndio hua inasababisha hata watumishi wengine kuhukumu watu, kusengenya, kwa sababu tu wamehubiri kuhusu Mungu watu wakampinga. Hapo wanafika mbali.
Pia unajua hapa duniani kuna choice nyingi sana. Ndio maana hata wanaopinga uwepo wa Mungu wanaishi na wanafanikiwa pengine kuliko wakristo. Hiyo ni neema ya Mungu. Lakini wote tunajua kua njia bora kabisa ni kumwamini na kumfuata yeye. Kama wanajua wanavyokosa, wanatakiwa wakubali wenyewe kumfuata Yesu na kuamini. Kuna tofauti kubwa sana.
Nani kaomba picha?Sina picha yake kwa sababu yeye ni Roho. Hivi ukiambiwa kwamba thibitisha kwamba furaha ipo utatibitisha vipi?
Furaha, upendo, chuki n.k huthibitika kihisia tu. Kama unakataa kwamba hakuna hisia, basi endelea kuamini hivyo. Na haya unayoyaandika ni kwa sababu milango yako ya ndani imefunguka vibaya.
Nimekuuliza kujua ni ni nini na kuamini ni nini kwa mujibu wako?Unajua kuwa Mungu Hayupo au unaamini kuwa Mungu hayupo
Mtumishi,umenena vema.Ubarikiwe sana Mtumishi.Sahihi. Kwa sababu naamini unazungumzia watumishi wa kikristo, nadhani inabidi liangaliwe kwa upana wake. Mtumishi kwanza amjue Yesu na kumwamini. Hayo mengine yooote yanajirekebisha. Kwa sababu Yesu akishaingia ndani yake anamfanya kiumbe kipya, basi anakua na upendo, heshima, utii, na matendo yake yote kwa ujumla yanabadilika.
Kwa ambaye hamwamini Mungu, mara nyingi sio vizuri kudebate. Kwa sababu Roho huwapa ufahamu wa uwepo wa Mungu watu wote hapa duniani. Kwahiyo hata kama anapinga, ila ndani yake, nafsini mwake anakua hana uhakika. Ndio maana wengi wanakua wanapenda sana kudebate au kuargue na kudefend points zao.
Ila wewe kama mkristo kwa sababu una uhakika na Mungu wako, relax. Kama umemwambia mtu habari njema, umempa resources zote za kutambua uwepo wa Mungu, na bado anakataa. Unamwacha.
Hata mtume Paulo alisema hivyo.
Cha msingi usiache kuongea kuhusu Mungu, lakini usifikie hatua ya kubishana, inakua kama kupoteza wakati, while kuna wengine wengi wapo tayari kuskiliza.
Hii ndio hua inasababisha hata watumishi wengine kuhukumu watu, kusengenya, kwa sababu tu wamehubiri kuhusu Mungu watu wakampinga. Hapo wanafika mbali.
Pia unajua hapa duniani kuna choice nyingi sana. Ndio maana hata wanaopinga uwepo wa Mungu wanaishi na wanafanikiwa pengine kuliko wakristo. Hiyo ni neema ya Mungu. Lakini wote tunajua kua njia bora kabisa ni kumwamini na kumfuata yeye. Kama wanajua wanavyokosa, wanatakiwa wakubali wenyewe kumfuata Yesu na kuamini. Kuna tofauti kubwa sana.
Imani.....faith doesn't need physical evidence,wewe kama huamini basi ila jua Mungu yupo,hana mwanzo wala mwishoHujajibu swali nililokuuliza.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Nilianza kukuuliza swali hilo. Nijibu kwanza kabla ya kuniuliza maswali zaidi.
Acha kuzunguka bhana... Jibu swali,ulitaka standard definition ya ku guide mjadala nmesema tutumie Maana ya kamusi sanifu.. Unaanza kuruka ruka..Hivi wewe huna hiyo kamusi? Soma mwenyewe!
Nani kataka physical evidence?Imani.....faith doesn't need physical evidence,wewe kama huamini basi ila jua Mungu yupo,hana mwanzo wala mwisho
Huyu Kiranga ninachomshangaa, kutaka watu waamini kile anachoamini yeye. Wakati anachoamini yeye ikiwa hakuna anekipinga, ila tumfumilie tu hawa wapo tu hatuwezi kuwaepuka, kuna siku kuna mtu aliweka mada juu ya kujisafisha kinyesi, kwa maji au karatasi wapo walisema wao wakimaliza haja ni kuvaa tu kazi imeisha, na wakitoka kungonoka wanavaa tu, hawaogi au kunawa, hivyo usishangae harufu za kutapisha, tunazokutana nazo ndani ya Daladala.Endelea wewe! mimi mwisho wangu ni huo, naogopa usinikwaze kwenye imani yangu.
Ni haki yake kutoa mawazo yake hata kama sio sahihi! Ahsante sana!Huyu Kiranga ninachomshangaa, kutaka watu waamini kile anachoamini yeye. Wakati anachoamini yeye ikiwa hakuna anekipinga, ila tumfumilie tu hawa wapo tu hatuwezi kuwaepuka, kuna siku kuna mtu aliweka mada juu ya kujisafisha kinyesi, kwa maji au karatasi wapo walisema wao wakimaliza haja ni kuvaa tu kazi imeisha, na wakitoka kungonoka wanavaa tu, hawaogi au kunawa, hivyo usishangae harufu za kutapisha, tunazokutana nazo ndani ya Daladala.
Unachokitafuta sikielewi; imani yangu ni kwamba Mungu yupo, nami ni mtumishi wake ndiyo maana natumia mda huu kukujuza wewe na wengine ili msijesema hatukujua.Acha kuzunguka bhana... Jibu swali,ulitaka standard definition ya ku guide mjadala nmesema tutumie Maana ya kamusi sanifu.. Unaanza kuruka ruka..
Nlkuwa na rafiki angu alkuwa haamini kabisa tulibishana sana kuhusu habari za imani tukapotezana like a year nlporud nkamkuta kaokoka basi ninaamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi,ukifika utamwamini tu muulize SauliNani kataka physical evidence?
Amina, yeye hutenda kwa wakati wake!Nlkuwa na rafiki angu alkuwa haamini kabisa tulibishana sana kuhusu habari za imani tukapotezana like a year nlporud nkamkuta kaokoka basi ninaamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi,ukifika utamwamini tu muulize Sauli
yeyote anaejiita mtume ama nabii nimuongo tuHabari waungwana,
Ni matumaini yangu kwamba hamjambo wote, na mnaendelea vyema kutimiza wajibu wenu. Napenda kuwambieni habari njema kwamba kwa siku hizi kumekuwa na watu wengi wanaohubiri ila wapo waongo na wapo wa kweli pia.
Mhubiri wa ukweli ni yule mwenye upendo na watu wote, mwenye hofu ya Mungu, asiyewasema watumishi wenzio vibaya, mara hoo fulani anatumia maji ya .... mara hooh fulani anatumia majini .. mara hooh .. flani ni free marson ,,, n.k.
Wa ukweli yote hayo humwachia Mungu kwani si vyema kuhukumiana. Ukiona kiongozi wako wa kiroho anawasema watumishi wengine vibaya ... mkimbie na MWOGOPE KAMA UKOMA!