Mtambo wa kutengenezea supu ya mawe

Duh hii ndio distillation made simple au appropiate technology.
 
chan'gaaa hiyo, kenya imehalalishwa
 
kitu hakina lebo na tbs tu, waturuhusu tujinywee tu kakinywaji ketu
 
Magaidi wakiugundua tuu watautumia kama suicide bomb.

umefika wakati viwanda vya silaha vizingatie huo ushauri.
Mtambo kama huo ulikuwako nyumbani kwetu, mkemia mkuu akiwa mamangu mwenyewe!
 
Kitu ya ukweli...hapo hata nzi hasogelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…