Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Walidai Tanzania hakuna but this chinese wanahizi mashineSio mbaya na sisi kama nchi tukiwa na mtambo wetu Mkuu,kimsingi tumechelewa ila bado haiondoi umuhimu wa huo mtambo kwa Taifa.
Ni shauri yao, wasipokuja kwenye mtambo huo itakula kwao kwani kwa sasa hatutaruhusu kupeleka makinikia nje ya Nchi. So wao wataamua ama kusuka au kunyoa.“Lengo ni kusaidia wachimbaji wadogo na wa kati lakini pia hata kwa kampuni kubwa zitazohitaji kuchenjuliwa madini ya dhahabu”
Nilidhani kutokana na yale yaliyotokea kwenye sakata la makinikia huo mtambo utakuwa suluhisho... kumbe ni hadi hizo kampuni kubwa zitapohitaji?
Hivi kwa akili ya kawaida hizo kampuni kubwa zinaweza kuhitaji huo mtambo wetu?
Wachina wana za kuchenjua dhahabu lakini ni ndogo haziwezi kufanya uchenjuaji wa makinikia. Kumbuka makinikia karibia yote huzalishwa katika Mgodi wa BulyanhuluWalidai Tanzania hakuna but this chinese wanahizi mashine
Hii ndio yaitwa smelter au sio. . . .mi nadhani tusubirie ikamilike then ianze kufanya kazi afu ndio tuanze kujudge kuanzia hapo. Hofu yangu kuu ni sabotage tu kwa lengo la kukwamisha malengo ya huu mtambo/mashineView attachment 951163
Mineral concentrates smelting plant.
Mtambo wa Kuchenjua dhahabu uko mbioni kukamilika baada ya kufikia asilimia 95%. Mtambo huo unajengwa katika eneo la Lwamugasa, mkoani Geita.
Waziri wa Madini, Angela Kairuki alisema kuwa, lengo la mtambo huo ni kusaidia wachimbaji wadogo na wa kati lakini pia hata kwa kampuni kubwa zitajazohitaji kuchenjuliwa madini ya dhahabu.
Mtambo huo uliojengwa na Serikali utakuwa chini ya Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) ambao watakuwa wasimamizi wakuu wa mtambo huo.
Hayo ni matokeo ya maagizo ya Rais Magufuli kufuatia mapendekezo yaliyotolewa na Kamati ya Kuchunguza Makinikia chini ya Profesa Mruma, iliyoshauri Serikali kujenga mtambo wake wa kuchenjua makinikia ili kuepuka kupoteza kiwango kikubwa cha dhahabu.
View attachment 951068
Kwa kuwa umejaa kwenye siku yako ya lununu?Kudos - Ila kama ka mfano hivi.. Mtambo unatakiwa uwe mkuuubwaa.
Hii ni awamu ya tano kila jiwe litapasukaHivi si ilisemekana kujenga huo mtambo ni gharama mno na inahitaji muda mrefu,inakuwaje huo uwe tayari mapema hivi?
Nyie mnafurahisha sana hebu, tuambie capacity ya huo mtambo, unajengwa na nani? Tends ya kumpata mjenzi ilitangazwa wapi? Bugeti ,yake ilipitishwa na nani??Mtambo wa Kuchenjua dhahabu uko mbioni kukamilika baada ya kufikia asilimia 95%. Mtambo huo unajengwa katika eneo la Lwamugasa, mkoani Geita.