mkuu ndio sasa tunaanza kuona effects za kufungwa ile web.....
jamaa ni mtambo haswa.....kuna wakati niliona hata humu alikuwa anaandika mambo yasioeleweka nikajua atakuwa chizi tgeofrey kaingia....
Hahahaaa,lakini jamani na nyie hamna jema.Tatizo lake nini mwenzenu anatafuta kazi?au mnataka afulie muanze kumchekaa?
Duh lakini kwakweli sio siri jamaa mtambo haswaa tena nahisi wa kinyesi!!
tehe tehe mkuu umeangalia ile link? alafu unajua aliwahi kuwa member wa JF na alikuwa anamwaga vepa mtindo mmoja....hii sio kama ile mtu anaanzisha thread eti yuko wapi cuppy wake? au kwanini lyumba anakunywa maji au unaona iko sawa na ile Flora nducha kaolewa na nani?