Mtambo mwingine wa Songas wazimwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambo mwingine wa Songas wazimwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Feb 24, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Kuna taarifa kuwa mtambo mwingine wa kuzalisha umeme wa kampuni ya Songas wenye uwezo wa kufua umeme kiasi cha 20MW upo down tangu asubuhi hii. Sababu za kuzimwa mtambo huo bado hazijapatikana. Hii inapelekea kampuni hiyo kutozalisha jumla ya 60MW ukijumlisha na ule mtambo wa 40MW ambao ulipata ajali ya moto wiki iliyopita na ambao hadi sasa bado upo kwenye matengenezo.

  Vilevile kuna taarifa kuwa mtambo wa kuzalisha umeme wa kampuni ya Dowans wenye uwezo wa kuzalisha 40MW ambao uliwashwa kinyemela mwanzoni mwa juma tayari umeshazimwa baada ya wananchi kugundua mtambo huo kuwashwa kinyemela.

  Kuna hatari makali ya mgawo wa umeme yakaongezeka.
   
 2. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tumeshawazoea hao na sinema yao...wamezoea kutengeneza tatizo ili kutulazimisha wafanye yao...amini hata kama mabwawa yangekuwa yamejaa maji, ungesikia wanatudanganya eti mabwawa yamejaa tope ambalo ni hatari kwa mitambo yetu...wanatutaabisha wananchi na sinema yao hii isiyokuwa na mwisho!..Mungu ni mkubwa yatafika mwisho..!!
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  hamna jipya hapo... wakazime hadi mtera na mvua ikinyesha wayafungulie maji yatoke ili wafanikiwe dili zao
   
Loading...