anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 484
hakuna hiyo software mpaka TCRANi Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali?
Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama kuna software ya kununua nifanye ninunue niweze kujua sehemu anayokuwa mtu ninayemtafuta kwa kitumia ssimu yake
Kwa nn mkuuNasubiri uzi wako wa vilio....
short cut, mpigie muulize aliko. Utajua
Unaukimbilia motoKwa nn mkuu
Hapa uniua kabisa mkuuhakuna hiyo software mpaka TCRA
PS: kama humuamini vaa ndom 2+
mkuu, nimekuambia ukweli ili usipigweHapa uniua kabisa mkuu
Hahaha!. Jibu linachekesha lakini ndiyo jibu sahihi kabisa.short cut, mpigie muulize aliko. Utajua
Ni Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali?
Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama kuna software ya kununua nifanye ninunue niweze kujua sehemu anayokuwa mtu ninayemtafuta kwa kitumia nnamba ya simu yake