Mtalimbo wangu unadinda kila mara

Mtalimbo wangu unadinda kila mara

wewe ndo martin kadinda au??
Sijui kama ni tatizo au ni nini?


Kwanza nimesoma seminari moja wapo huko kanda ya ziwa ni moja seminary Kali Sana na zenye Sheria Kali kuhusu mahusiano na wasichana.hivyo nimeanza sex nikiwa na miaka 20 .Tangia darasa la Sita nilisoma kwenye shule ya aina hiyo mpaka form six .shule hiyo walikuwa wanatufanya busy kwa ratiba Kali yenye kuchosha mda mwingi.nilimaliza form six nikatoka huko

Sasa baada ya kutoka huko ni majanga kila saa mpaka nashindwa kuwa huru .nikiona hata chupi zimeanikwa ,wadada wanaenda kutoa sadaka kanisani, kwenye daladala,hata story Tu za mademu zikianza Mzee huku chini anakuwa hoi

Nikikutana na mwanamke sasa ndo inadinda mpaka naumia.
Kwa sasa uume wangu umepinda kwa Sababu ya kulala .sijawahi kulala hata kama nikipitiwa usingizi nikiwa kanisani bila uume kudinda.

Sijui ni kawaida hii au nini wanaume naomba majibu.
 
Back
Top Bottom