Mtalimbo au kibamia???

Status
Not open for further replies.

Monda kubwa

Senior Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
121
Reaction score
157
Kwenye kukutana baina ya wapenzi najua wanawake wanakutana na changamoto muktadha cku wanapokutana kwenye mechi kwa Mara ya kwanza. Naomba ushuhuda kidogo kuhusu hawa warembo wetu jinsi walivyokutana na jacuzi. Either kibamia au dudu kubwa oversize uli react vipi. Au ulifanya nini kuhimili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Baba muweza wa yote. Iokoe nchi yetu na janga hili la Korona Baba. Tunaomba toba, neema na utakatifu wako ukatufunike Baba.

Aaaamen
 
Hahahahahaha mleta mada majibu yanasomeka au tuwaambie wachangiaji wabold maandishi???

Corona sio mtu mzuri yaani kawa km mbio za Riadha.China aliongoza race km 5 mfululizo mara Iran huyu hapa akaovertake,naye hajakaa sawa Italy kampita kama Kishada fyaaaaaaaaa ss bhana USA kaona huu ujinga katoka mkiani huko kapita wote now anaongoza race huku akiwaacha mbali sana wapinzani wake.Tusubiri atakayempita USA nahisi ndo atakuwa bingwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…