Mtalii apanda mlima Kilimanjaro kinyume nyume

Mtalii apanda mlima Kilimanjaro kinyume nyume

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
20240820_180750.jpg
 
mkuu bila kupinga,kubisha,kukataa na hata bila dukuduku, wasiwasi,shaka na hujuma yoyote ile sichelei kusema huyu ndie yeye!.. huyu ni yeye kabisa yuleyule zee la nyeti,mtafuna vizazi...🤣
 
dada zetu wasikubali kukaanae karibu hachelei huyu!,wavitunze vizazi vyao,wavistiri wavifunike waviweke ndani!
 
Hii mijitu si ibakie tu huko mahomu kwao. Uhamiaji tunataka maelezo imekuwaje mumemruhusu huyu jamaa kuingia nchini?

Jeshi la uhamiaji lifumuliwe mara moja siyo mara ya kwanza uhamiaji kuruhusu watu wa ajabu ajabu kuingia nchini. Wiki kadhaa walimruhusu shoga kutoka Africa kusini ana makalio makubwa eti squatting. Yani nchi yetu imeruhusu mianya ya kunajisiwa hivihivi kwa watu tuliowapa dhamana kuulinda mipaka yetu.
 
Mmhhh huu uzi tuwaachie malegendary...
Maana tunachokisoma na tulichokiwaza wengine na kuchora taswira ya mlima klm kumbe ni vitu viwili tofauti...
 
Back
Top Bottom