Mtalaamu wa madini nishauri kwa hili

Kwanza sio green tomarine, ila ni green tourmaline.Kusema ukweli biashara ya gemstone ni ngumu sana kwani inaangalia vitu vingi sana.Ila kwa soko la kawaida mara nyingi inakuwa $120-250kwa carat moja.Kazi kwako
 
Back
Top Bottom