Mtalaam wa mifugo

Kuna mtu anaweza akawa kasoma General Agriculture lakini ukakuta kafanya practical nyingi zaidi ya mtu aliyesoma Animal Health. Huyu atapata dili nyingi kuliko wewe unaeajisifia cheti wakati practical ni mweupe.Siku zote mfugaji anataka mnyama wake apone. Km we na vyeti vyako kila ukienda kutibu mnyama haponi usitarajie kuitwa tena. Taratibu utashangaa haupigiwi simu. Mtaani what matters ni performance vyeti vinabaki kwenye begi lako.
 
Point
 
@Malila vipi mkuu issue ya ng'ombe ulifanikiwa
Looh nilianza vizuri, siku moja madogo wakazembea, ng`ombe wakala shamba la mtu mwenye stress zake, aliishia kukata miguu ya ng`ombe wangu. ile picha nikiikumbuka moyo unaumia sana. Ila nimeanza upya, kwa kwenda mbali sana na wakulima, huko akija mtu na kesi za hivi atakuwa ana visa.
 
Nimechelewa Sana kuijua jamii forum . Ila nilikuwa kila niki Google vitu naletewa post zako toka jf nimejifunza vingi Sana kwako. Nikipata chance nitakutembelea nijifunze mengi zaidi
 
Mkuu,
Kuna kitu nimekiona mtaani kwa wafugaji wengi, watalaam wa animal production ni wachache sana, wengi ni wa animal health. Na kwa sababu wafugaji hawajui, wanachanganya hawa watalaamu.
Lakin wanfanya kaz znazokarbiana sn, nafkr cha muhim deliverance. Anakupa unachotaka?
 
Nimechelewa Sana kuijua jamii forum . Ila nilikuwa kila niki Google vitu naletewa post zako toka jf nimejifunza vingi Sana kwako. Nikipata chance nitakutembelea nijifunze mengi zaidi
KARIBU MKUU TUCHAPE KAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…