Mniombee!Ndugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu.
Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema, "Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio niliopendezwa nao"
Sasa naomba kufahamu
1. Utakatifu ni nini?
2. Mtakatifu ni nani?
3. Je, binadamu, mtu kama mimi naweza kuitwa mtakatifu?
4. Na ili niwe mtakatifu yanipasa kufanya yapi?
Ndugu zangu, nimeleta mada hii hapa ili nipate msaada utakaoniwezesha kupanua uelewa wangu. Naomba msaada wenu ila tujikite zaidi katika maandiko. Yaani pawepo na vivid example.
Asanteni sana.
Yani baba jonii..?Mtakatifu ni mh. Baba J
Cna milion 7Yani baba jonii..?
Maandiko yako kiimani zaidi..! Vivid evidence ziko kwenye sayansi tuu...utakatifu ni dhana ya kiroho kuliko kimwili kwahiyo ukitafuta ithibati za utakatifu hutapataNdugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu.
Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema, "Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio niliopendezwa nao"
Sasa naomba kufahamu
1. Utakatifu ni nini?
2. Mtakatifu ni nani?
3. Je, binadamu, mtu kama mimi naweza kuitwa mtakatifu?
4. Na ili niwe mtakatifu yanipasa kufanya yapi?
Ndugu zangu, nimeleta mada hii hapa ili nipate msaada utakaoniwezesha kupanua uelewa wangu. Naomba msaada wenu ila tujikite zaidi katika maandiko. Yaani pawepo na vivid example.
Asanteni sana.
Journeynet?Mtakatifu ni mh. Baba J
Mtakatifu ni yeyote yule ambaye ni INFALLIBLE! Nadhani jibu langu linajibu maswali yako manne kwa kiasi fulani!Ndugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu.
Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema, "Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio niliopendezwa nao"
Sasa naomba kufahamu
1. Utakatifu ni nini?
2. Mtakatifu ni nani?
3. Je, binadamu, mtu kama mimi naweza kuitwa mtakatifu?
4. Na ili niwe mtakatifu yanipasa kufanya yapi?
Ndugu zangu, nimeleta mada hii hapa ili nipate msaada utakaoniwezesha kupanua uelewa wangu. Naomba msaada wenu ila tujikite zaidi katika maandiko. Yaani pawepo na vivid example.
Asanteni sana.
Aaante kwa hilo, basi naomba kuielewa kwa namna yoyote na kwa maelezo yyte.Maandiko yako kiimani zaidi..! Vivid evidence ziko kwenye sayansi tuu...utakatifu ni dhana ya kiroho kuliko kimwili kwahiyo ukitafuta ithibati za utakatifu hutapata
Mtakatifu ni ww na mm Ila matendo yetu tu ndo yanayotunyima utakatifuNdugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu.
Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema, "Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio niliopendezwa nao"
Sasa naomba kufahamu
1. Utakatifu ni nini?
2. Mtakatifu ni nani?
3. Je, binadamu, mtu kama mimi naweza kuitwa mtakatifu?
4. Na ili niwe mtakatifu yanipasa kufanya yapi?
Ndugu zangu, nimeleta mada hii hapa ili nipate msaada utakaoniwezesha kupanua uelewa wangu. Naomba msaada wenu ila tujikite zaidi katika maandiko. Yaani pawepo na vivid example.
Asanteni sana.
Utakatifu ni dhana ya kiroho huwezi kuipata nje ya hapoAaante kwa hilo, basi naomba kuielewa kwa namna yoyote na kwa maelezo yyte.
Tukuombee nini na kwa Mungu yupi? maana Mungu naemuamini mimi,wewe unaenda kinyume chake kwahiyo siwezi kujisumbua nikuombee kwa Mungu wangu huku wewe unaeombewa unafanya kinyume nae,we katafute Mungu anaeendana na matendo yako ya kishetani ndio wakuombee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mniombee!
Ngoja nikituliaJe kwa uelewa wa kawaida inakuwaje? Mshana nisaidie kwa hili, hope unaweza