shizo mkax
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 190
- 39
- Nianze kwa kuwapongeza kwa kufaulu vizuri, HONGERENI.
- Napenda niwape angalizo ndugu zangu, ikitokea umekosa selection for the first round tafadhali usikurupuke kujaza ilimradi chuo chochote.. UTAJUTA.
- Ni bahati sana kwenu vyuo vingi vya ovyo vimefungiwa na serikali mfano St Joseph university, hili ndo lilikuwa chaka la wale wote wa second na third round.
- MSIPANIC tulieni mjaze upya kwa kozi na vyuo vizuri