Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,048
Arts au sayansiTwo ya point kum mkuu alaf niliomba ualim yan pia wamenitema
Arts au sayansiTwo ya point kum mkuu alaf niliomba ualim yan pia wamenitema
Arts mkuuArts au sayansi
Ata Mkwawa umekosaArts mkuu
Uliomba koz gani?Aisee yanayonikuta mimi ni siri yangu, nina point ,9 kwenye masomo 3 nimetemwa aiseee na CBG yangu. Duuuh kumbe hata tembo anaweza kuwa kama sisimizi!!!
Mbna phamacy st john imechukua point 7 imekuaje wewe umekosa.Optometry kcmc
Nursing bugando
Medical lab bugando
Nursing kcmc na
Pharmacy st John's
Yan ata siamin mkuu sio iyo mkwawa tu . Had udom nmekosa sasa cjui wanmpango gan na mm.Ata Mkwawa umekosa
st.Joseph ni chuo cha hovyo kuliko unavyoweza kudhani, kwa tuliopitia pale tunajua hiloDaa mkuu mbona unachafua vyuo vya watu kwamba st Joseph ni chuo cha hovyo?.
Mbona MD udom imezuiliwa lakini MD St Joseph haijazuiliwa?.
Kwa maana hiyo unataka kusema MD ya udom ilikuwa ya hovyo?.Tatizo nikuwa st Joseph ina majengo machache na idadi ya wanafunzi niwengi.
Kitu kingine nikuwa St Joseph hata iyo MD ambayo inachukua MD niwachache watakao weza kusoma kwa sababu ada ni Million tano na laki tisa ukijumlisha na michango inafika million sita na laki kadhaa.
Sasa sisi watoto wa makapuku hatuwezi soma chuo kama st joseh kwa sababu hatuna pesa.
Amejuaje kama kapangiwa huko?? kwan majina ya kupangiwa chuo si bado??Aiseeee sijui kabisa tatizo ni nini? Kuna jamaa ang anapoint 12 kapata cuhas. Aisee inauma sana sio siri
St. Joseph ujanjaujanja mwingi sana, biashara zaidi kuliko elimu bora. Watu wanaenda pale wamefeli wanatoka na GPA ya 4.9 hadi 3.5, mbaya zaidi graduate wake pamoja na kuwa na ufaulu mkubwa kichwani hawana kitu yaani ni mizigo makazini. Ni wachache sana wenye uwezoDaa mkuu mbona unachafua vyuo vya watu kwamba st Joseph ni chuo cha hovyo?.
Mbona MD udom imezuiliwa lakini MD St Joseph haijazuiliwa?.
Kwa maana hiyo unataka kusema MD ya udom ilikuwa ya hovyo?.Tatizo nikuwa st Joseph ina majengo machache na idadi ya wanafunzi niwengi.
Kitu kingine nikuwa St Joseph hata iyo MD ambayo inachukua MD niwachache watakao weza kusoma kwa sababu ada ni Million tano na laki tisa ukijumlisha na michango inafika million sita na laki kadhaa.
Sasa sisi watoto wa makapuku hatuwezi soma chuo kama st joseh kwa sababu hatuna pesa.
UDOM education ina compttn tu kama UDSM.Yan ata siamin mkuu sio iyo mkwawa tu . Had udom nmekosa sasa cjui wanmpango gan na mm.
View attachment 399254
Daah mkuu wamenivunja moyo kwel, yan bora ningemsikiliza mzee coz aliniambia niachane na hii elim ya mabumash anikabidh duka.UDOM education ina compttn tu kama UDSM.
Maana wengi wenye ufaulu mkubwa uomba education UDOM na UDSM.
pole aisee jaza upya omba mungu.
Niliangalia ile link ya jana iliyofungwa mda mfupiAmejuaje kama kapangiwa huko?? kwan majina ya kupangiwa chuo si bado??
Inategemea uliomba chuo gani! Tatizo watoto wanabanana UDSM, DUCE, MUCE wakati kuna vyuo vingi tu vizuri vyenye capacity kubwa vimebaki bila kujaa! Acheni kukariri, suti ni suti tu hata kama umeinunulia kariakoo siyo lazima ununulie mlimani city!Two ya point kum mkuu alaf niliomba ualim yan pia wamenitema
Mkuu nilkiweka udom cha kwanza alaf nmekosa pia.Inategemea uliomba chuo gani! Tatizo watoto wanabanana UDSM, DUCE, MUCE wakati kuna vyuo vingi tu vizuri vyenye capacity kubwa vimebaki bila kujaa! Acheni kukariri, suti ni suti tu hata kama umeinunulia kariakoo siyo lazima ununulie mlimani city!
Sasa kwenye second round kuna ushindani mkubwa sana hasa kwenye education science. Waliotemwa MD, Pharmacy, Laboratory, Nursing nk wengi hawatakuwa na kiburi cha kunyanyapaa ualimu, hivyo watabanana tena! Matokeo yake kuna watakaoachwa tena second round halafu waanze kushangaa kuwa wametemwa kwenye ualimu sayansi na division 2 zao wakati kuna watu walipata kozi hiyo kwa div 3 first round maana walijua kupima suti kulingana na urefu wao!
Ni ushauri mzuri lakini huko kwenye Diploma hakuna boom na ada yake ni ndefu mbali na malazi na chakula. Hivyo shirikisheni wazazi kwanza kabla ya kuamua kuapply DIPLOMA. Diploma ya vyuo binafsi ada yake inaweza kuzidi hats ada ya chuo kikuu!!!!kwa ushauri wa bure kama kuna mtu ana ndoto za udaktari ni bora aende akasome dip ya clinical medicine,pharmacy au lab.
Mkiendelea kubanana uko TCU mtajikuta m'mpoteza muda na ata mkija kushtuka mtakuta nacte wameshafunga udahili.
Ingawa inauma fanyeni maamuzi magumu tu