Mtakaoomba second round TCU muwe makini sana

Mtakaoomba second round TCU muwe makini sana

St. Joseph ujanjaujanja mwingi sana, biashara zaidi kuliko elimu bora. Watu wanaenda pale wamefeli wanatoka na GPA ya 4.9 hadi 3.5, mbaya zaidi graduate wake pamoja na kuwa na ufaulu mkubwa kichwani hawana kitu yaani ni mizigo makazini. Ni wachache sana wenye uwezo
Mkuu kwahiyo kutoka na GPA kubwa ndio ubovu wa elimu?.

Kwa nini hujiuliza kwa nini st Joseph kila kipindi wanaita majina kwa mwanafunzi alieoko darasani,na asipofikisha wastani wa mahudhulio unaotakiwa hafanyi UE?.

Kwa nini hujiulizi kwa nini wanafany CAT zaidi ya mbili,Modal halafu ndio UE.

Kwa nini hujiulizi kwa nini wanafanya assignment kumi wakati vyuo vingine wanafanya mbili?.

Kwa nini hujiukizi time table yao kila mwanafunzi anapewa mwanzo wa semister wakati vyuo vingine lecturer wanakurupuana bila taifa?.

Kwa nini hujiulizi mwanafunzi anapochelewa harusiwi kuingia darasani mpaka kipindi kiishe?.

Kwa nini hujiulizi darasa lao moja halizidi wanafunzi 80 wakati vyuo vingine wanafundisha wanafunzi zaidi ya 500 kipindi kimoja?.

All in all ufahamu wa vitu upo kwenye juhudi za mwanafunzi husika na sio chuo husika.
 
  • Nianze kwa kuwapongeza kwa kufaulu vizuri, HONGERENI.
  • Napenda niwape angalizo ndugu zangu, ikitokea umekosa selection for the first round tafadhali usikurupuke kujaza ilimradi chuo chochote.. UTAJUTA.
  • Ni bahati sana kwenu vyuo vingi vya ovyo vimefungiwa na serikali mfano St Joseph university, hili ndo lilikuwa chaka la wale wote wa second na third round.
  • MSIPANIC tulieni mjaze upya kwa kozi na vyuo vizuri
Sisi tilikuwa tuna waita watoto wa STJ
Tz hii kila k2 nginjinginji
 
Optometry kcmc
Nursing bugando
Medical lab bugando
Nursing kcmc na
Pharmacy st John's

Naomba usikilize! Nikupongeze kwa kufaulu vizuri sana kwenye combination ya CBG!
Lakini uchaguzi wako hauendani na masomo uliyosoma! Hata kama ungepata B, B, A bado usingechaguliwa kwenye kozi yoyote hapo maana zote zinataka two principle passes and "at least a subsidiary in physics" na wewe haujasoma kabisa physics!
Kama unajiita tembo bado utatamba nchi kavu na kamwe hauwezi kushindana na dagaa ziwani pamoja na utembo wako! Pole na usikate tamaa, wahi second round! Ulikuwa unafiti sana kozi nyingi za SUA! na bahati mbaya nyingi zimeshajaa! Kama kuna ambayo INA nafasi ijaze fasta!
Usidanganyike ualimu was sayansi kwa nchi yetu bado ni dili kubwa sana! Tafuta chuo chenye nafasi ujaze!
 
Mbona kuna jamaa zangu wawili, mmoja kachaguliwa muhas na amesoma cbg, mwngn st john pharmacy
 
Optometry kcmc
Nursing bugando
Medical lab bugando
Nursing kcmc na
Pharmacy st John's
Inaezekana CBG hapo hana physics.
umemshaur dogo vzur kabisaa.
Hapo usijaze tena koz za afya.
Angalia Ardhi Udsm na Sua
Mkuu mbona nina CCC CBG, BAM C NA GS S

Naomba usikilize! Nikupongeze kwa kufaulu vizuri sana kwenye combination ya CBG!
Lakini uchaguzi wako hauendani na masomo uliyosoma! Hata kama ungepata B, B, A bado usingechaguliwa kwenye kozi yoyote hapo maana zote zinataka two principle passes and "at least a subsidiary in physics" na wewe haujasoma kabisa physics!
Kama unajiita tembo bado utatamba nchi kavu na kamwe hauwezi kushindana na dagaa ziwani pamoja na utembo wako! Pole na usikate tamaa, wahi second round! Ulikuwa unafiti sana kozi nyingi za SUA! na bahati mbaya nyingi zimeshajaa! Kama kuna ambayo INA nafasi ijaze fasta!
Usidanganyike ualimu was sayansi kwa nchi yetu bado ni dili kubwa sana! Tafuta chuo chenye nafasi ujaze!
 
Mkuu mbona nina CCC CBG, BAM C NA GS S
Kama una ndoto ya kufanya kazi kwenye idara ya afya, basi amua kusoma physics kwa msuli wa nguvu kisha Fanya mtihani mwakani upate angalau S hapo huwezi kukosa kozi yoyote kati ya hizo lakini isiwe muhas!
 
Duuuh kwel hii elim ya tz haina adabu yan kamar vile .
Nmeshindwa ata lakufanya na ningekua dar ningewafata ofisin kwao.
Kwa ufaulu huu pia nimetemwa bora nianze tu kaz ya kusajil lain.
Chuo chenyew nmetemwa ata nikiapply awam ya pil , mkopo nao utakua majanga vile vile

mbaya zaidi hautaki kozi za ualimu
 
Haiwezekani MTU akachaguliwa kozi ya afya Muhas wakati wameainisha kabisa kigezo cha at least awe na S kwenye physics. Ikitokea kwa bahati mbaya MTU akachaguliwa, Huyo anaweza kutumbuliwa muda wowote kwenye zoezi la uhakiki wa wanafunzi wasio na sifa!
Traditionally st John's haikuwa na kigezo cha physics kwenye pharmacy. Lakini Naona this time TCU wamezingatia uwepo wa physics hata kama chuo husika hakikuainisha kwa ajili ya kuzingatia quality ya watakaojiunga na kozi za afya!
 
Sio majengo machache mkuu hata elimu yao ilikuwa haipo vzur thats why wanafunzi waliopelekwa udom kutoka st joseph walikutana na balaa la kurudishwa nyuma mwaka mzima wa masomo
Mkuu mwanafunzi gani alie rudishwa mwaka mzima?.
 
Mkuu mbona nina CCC CBG, BAM C NA GS S

Hongera mkuu kwa matokeo mazuri ingawa hayakukidhi mahitaji.Kimsingi hapo wanahesabu Masomo mawili hivo yaani CC mbili kutoka kwny comb yako tofauti na miaka yetu ilikua masomo ma3.Kwa maana nyingine kwa vigezo vya sasa ambavyo wanatumia two subjects from your combination una pts 6 na sio 9 km ulivyodai awali.Na ndio mana nlikwambia ulikosea toka awali katka kuapply.

Pili,hata km ulikidhi viwango kuna baadhi ya vyuo vina competition kubwa sana km MUHAS na KCMC hata km wakisema kozi flan min. Cut off pt ni 5 tambua kuna watu waliofaulu sana zaidi yako ivo kuweka karata yako pale tambua unabet.Hivo kabla kabsa ya kuapply unapaswa kuangalia ufaulu wa mwaka wenu na chuo kipi na kozi gani unaapply.

Km una uwezo na ungependa kuapply ualimu wa science bado unalipa sana ivo usipoteze bahati yako.
 
Mkuu mbona nina CCC CBG, BAM C NA GS S

Usikate tamaa ndg yangu endelea kupambana.Enzi zetu kuna watu walitemwa mpk 3rd round wakaingia vyuo kimagumashi sana.Kukosa 1st round haimaanishi ndo mwisho wa safar bali jitahid kufanya machaguo yako kwa umakini na huku ukiendelea kumuomba Mungu akawe pamoja nawe na hakika mwisho wa siku atatenda jambo juu yako.
Kila la kheri kk.
 
Mkuu nilisema point 9 kwenye masomo 3. Hivyo utakuwa umechanganya kidogo.
 
Ni ushauri mzuri lakini huko kwenye Diploma hakuna boom na ada yake ni ndefu mbali na malazi na chakula. Hivyo shirikisheni wazazi kwanza kabla ya kuamua kuapply DIPLOMA. Diploma ya vyuo binafsi ada yake inaweza kuzidi hats ada ya chuo kikuu!!!!

usifuate boom....wenzio wamemaliza degree wakarud diploma kisa walifuata boom
 
hauna Physics ndo maana umetemwa......kasome environmental science
Mbona unarahisisha maisha kiasi hicho? Waliochaguliwa nursing bugando wenyewe CBG wenyewe phy uliwafundisha wewe???? Umekariri mkuu. Soma tena guidebook alf pharmacy st john ukirudi uniambie wapi wameandika physics.
 
Back
Top Bottom