Daa mkuu mbona unachafua vyuo vya watu kwamba st Joseph ni chuo cha hovyo?.
Mbona MD udom imezuiliwa lakini MD St Joseph haijazuiliwa?.
Kwa maana hiyo unataka kusema MD ya udom ilikuwa ya hovyo?.Tatizo nikuwa st Joseph ina majengo machache na idadi ya wanafunzi niwengi.
Kitu kingine nikuwa St Joseph hata iyo MD ambayo inachukua MD niwachache watakao weza kusoma kwa sababu ada ni Million tano na laki tisa ukijumlisha na michango inafika million sita na laki kadhaa.
Sasa sisi watoto wa makapuku hatuwezi soma chuo kama st joseh kwa sababu hatuna pesa.