Mtaji

Fahari omarsaid

Senior Member
Feb 8, 2011
101
13
Kuna ndugu yangu amenipa kiasi cha Tsh 500000 nifanye biashara,je wanajamii wenzangu nifanye biashara gani?nimeisha umiza kichwa sana kuwaza lkn cjafanyikiwa,nisaidieni.
 
Mkuu hicho kiasi cha pesa sio kikubwa wala sio kidogo ila inategemea wewe ulitaka biashara gani . Lazima uko na biashara fulani uliotaka kufanya. Inakua ngumu sana kusaidiwa kama huna kabisa biashara unayoijua.
 
Nakushauri kuanzisha BABA LISHE; Tafuta eneo ambalo utaweza kulisha watu wasiopungua 20 kila siku kwa siku 5 za kazi; unaweza kutafuta ofisi mojawapo, gereji, soko, wauza mitumba etc. Kwa sasa tafuta gharama ya kununua vifaa kama majiko, sururia, containers (vyombo vya kuwekea chakula - zile za plastic); nafikiri gharama hizi haziwezi kuzidi 200,000/= halafu utatumia 100,000/= msingi wa kununulia vyakula na utabakiwa na 200,000/=. Ikiwezekana tafuta mpishi mmoja na wewe mwenyewe utasaidiana nae, Baada ya kumaliza kupika pack chakula kwenye container sawa na idadi ya wateja wako halafu unasambaza. Biashara hii haihitaji mlango wa kukodi (unafanyia nyumbani kwako), hulipi kodi. Mahitaji ya chakula ni ya lazima hivyo soko ni la uhakika.
 
mkuu kwa ushauri huu sidhani kama unaitaji msaada mwingine tena yani hapo kama kweli ulikuwa na shida bac umetoka tayari
 
:A S 13: dr phone ,mshauri aanze kuuza vocha za simu .
mimi namshauri aanze biashara ya maua fresh,aende ktk ofisi kubwa kubwa kama yupo
Dar,unaandaa catalogue then unafanya delivery of fresh flowers for the executive receptions and offices.every day.hapo kwa laki 5,utaona mtaji unaukua faster.
believe me maua yenye harufu nzuri huwa yanapendwa sana ,na siku asipotokea lazima wampiigie simu why?.
 
Back
Top Bottom