Mtaji wa TZS 80,000

Mtaji wa TZS 80,000

This's another form of network marketing alias Ponzi Scheme!

Kwenye Ponzi Schemes hela zilizotolewa na watu wa mwisho zinatumika kulipia watu wa mwanzo. Hapa Zantel badala ya kulipia matangazo kama yanavyofanya makampuni mengine ya simu ili yaweze kuuza bidhaa zao wao wanatoa bajeti hiyo kulipa wana mtandao wanaofanya kazi ya kuisambaza biashara yao hivyo hii sio Ponzi Scheme.
 
Kwa wale watakaotaka kujua ukweli wa biashara hii basi piga No. 100 ya Zantel halafu chagua No. 3 kisha ulizia kama Zantel wana uhusiano na Rifaro Africa Ltd ambayo ndio kampuni iliyoingia mkataba na Zantel kwenye biashara hii ya mtandao.
 
Back
Top Bottom