Mkuu Malila....heshima mbele!.....kutimiza wajibu wangu kwa Yatima nilianza tangu nilipoanza kupata kipato cha jasho langu,.........wako niliowasomesha na wamemaliza Chuo Kikuu na wanajitegemea......."mwenzio naitwa Babu sasa hivi"........wengine bado wako mashuleni, na vyuoni......hii miradi imeongeza gawio sio kwa Yatima pekee bali hata Sadaka kwa Mola wetu.......Asante sana kwa ujumbe......