Mtaji wa Million 2 unaweza kufanya Biashara gani na ukatoboa?

Nuoxian

Senior Member
Mar 15, 2020
169
237
Kwa mala ya kwanza siku ya jana nimefanikiwa kumpiga mhindi pesa mill 2 nilikuwa nahitaji kuifanya Biashara hii pesa niliyoipata, lkn changamoto imekuwa Aina ya Biashara ya kuifanya, msaada wa kunipa wazo zuri la Biashara nipo Songea Mjini.
 
Kwa mala ya kwanza siku ya jana nimefanikiwa kumpiga mhindi pesa mill 2 nilikuwa nahitaji kuifanya Biashara hii pesa niliyoipata, lkn changamoto imekuwa Aina ya Biashara ya kuifanya, msaada wa kunipa wazo zuri la Biashara nipo Songea mjin
Kwani wewe ulikua na plani gani au biashara gani mwanzo kabisa kabla hujaanza kubeti maana najua kuna kitu ulikuanacho kichwani cha kwamba nikipata hela fulani nitafanya kitu fulani.
 
Kwa mala ya kwanza siku ya jana nimefanikiwa kumpiga mhindi pesa mill 2 nilikuwa nahitaji kuifanya Biashara hii pesa niliyoipata, lkn changamoto imekuwa Aina ya Biashara ya kuifanya, msaada wa kunipa wazo zuri la Biashara nipo Songea mjin
Rafiki yangu kwasasa naona kabisa hukuwa na plan ya biashara yoyote.

Usikurupuke naomba weka iyo pesa fixed account itulie hata miezi kadhaa huku Sasa ukifanya uchunguzi wa biashara yakufanya boss wangu la sivyo utaipoteza.
 
Mtaji wa laki tano tu nenda ktk kijiji cha Chaliisanga/Igongo una ingilia Mkonze Iringa road wilaya ya Bahi kuna bwawa km la Mtera linaitwa Sulunga lkn nila msimu kuna samaki sana sasahv nunua Samaki Perege na Kambare, soko lipo sana Njombe pale.
 
Kama vipi mrudishie pesa yake huyo mhindi, ulikua unampiga ili uje uifanyie nini mkuu? 😛(joke)

Tafuta location nzuri fungua banda la chips classic mkuu mixer kuku wa kuchoma na nyama.
 
Back
Top Bottom