Mtaji wa laki 4

Habari ndugu wana JF naombeni mawazo yenu Nina laki 4 Nina hitaji kufanya biashara he nitafafanya biashara gan yenye kuhitaji kianzio cha kiasi hicho
Intersting kujua mchanganuo, subiri waje nami nichukue wazo mkuu!
 
kwa mbeya mchele mwingi sana huko anzakuleta dar pia maharagwe...hutojutia
 
Kwa pesa hiyo unaweza kununua mpunga unakoboa unauza mchele.
Nunua nafaka zinazopatikana huko kama maharage au Mahindi nenda uza mjini.
Fuga kuku.
Nenda Tukuyu nunua ndizi uje kuuza mjini.
 
Wengine wanaomba ushauri kutokana na mtaji waliyokuwa nao. Wengine tuna stress za makazini. Sina mzuka kabisa wa kufanya kazi ijapokuwa nipo kazini.
Pole, achana nayo sie tulizikimbia kitambo, ila ujipange!
 
Jitoe muhanga kama vipi
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuli solve. Kwenye kikao nilibadilika aisee mpaka Mkurugenzi mwenyewe aliogopa, hawakuwahi kuniona nikiwa namna ile. Majibu niliyokuwa nayatoa, japo nilikuwa naenda kwa hoja lakini macho na sura yalikuwa na rangi nyekundu na nilikuwa na hasira na mtu alikuwa akiingia ofisini kwangu leo nilikuwa namwambia sifanyi kazi, ziweke documents hapo ila sizifanyii kazi leo.
 
Kwa pesa hiyo unaweza kununua mpunga unakoboa unauza mchele.
Nunua nafaka zinazopatikana huko kama maharage au Mahindi nenda uza mjini.
Fuga kuku.
Nenda Tukuyu nunua ndizi uje kuuza mjini.
Asante sana mku
 
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuli solve. Kwenye kikao nilibadilika aisee mpaka Mkurugenzi mwenyewe aliogopa, hawakuwahi kuniona nikiwa namna ile. Majibu niliyokuwa nayatoa, japo nilikuwa naenda kwa hoja lakini macho na sura yalikuwa na rangi nyekundu na nilikuwa na hasira na mtu alikuwa akiingia ofisini kwangu leo nilikuwa namwambia sifanyi kazi, ziweke documents hapo ila sizifanyii kazi leo.
Pole sana ndugu
 
tupe wewe unamtazamo gani ili nasi tujue tunaanzia wap ikiwa ni zile wazipenda na zile unauzoefu nazo
 
Habari ndugu wana JF naombeni mawazo yenu Nina laki 4 Nina hitaji kufanya biashara he nitafafanya biashara gan yenye kuhitaji kianzio cha kiasi hicho
Ooooh mbeya nunua vifaa vya simu na uza mfano glass protector k/koo 1500 ww unauza 3000 hadi 5000 kama unandugu dar muagizie mzigo akutumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom