umeandika iv ukiwa mkoa gani ili upigiwe na gharama ya usafiri ila kama uko dar tuendeleeNaomba ushauri.....kwa sasa mimi ni mwajiriwa ila niliwahi soma veta fani ICT . ila nataka kufungua ofis yangu ya ufundi computer, ufundi simu na kuuza accessories mbali mbali za mambo hayoo..naomba kujua mtaji unaweza kuwa bei gani na vifaaa vipi nahitaaji hasa upande wa ufundi simu.
Kwa sasa naisha dar kimara sukaLocation is matter mkuu hicho ndio kitu kigumu zaid
Kwa sasa naisha dar kimara sukaLocation is matter mkuu hicho ndio kitu kigumu zaid
Nipo dsm - kimaraumeandika iv ukiwa mkoa gani ili upigiwe na gharama ya usafiri ila kama uko dar tuendelee
Dsm kimaraumeandika iv ukiwa mkoa gani ili upigiwe na gharama ya usafiri ila kama uko dar tuendelee
i mean location ya ofisi ndio kitu cha muhimu kulikoKwa sasa naisha dar kimara suka
Mkuu ofisi yako iko pande zipi?Vioo vya smartphone za hali ya mtu namaanisha infinix,tecno, Samsung za kawaida,oppo,vivo bei ya jumla ni kuanzia elfu13 mpaka elfu18, kwaiyo ukiwa hata na million1 ya vioo tu itakusaidia sana,kazi nyingi utakuwa na vioo,charge port au system charge bei ya jumla ni sh75 rejereja shilling 100,maiki jumla85 rejereja sh100
Ahsante kwa kutufafanuliaVioo vya smartphone za hali ya mtu namaanisha infinix,tecno, Samsung za kawaida,oppo,vivo bei ya jumla ni kuanzia elfu13 mpaka elfu18, kwaiyo ukiwa hata na million1 ya vioo tu itakusaidia sana,kazi nyingi utakuwa na vioo,charge port au system charge bei ya jumla ni sh75 rejereja shilling 100,maiki jumla85 rejereja sh100