Mtaji wa 2m Dodoma

Hahaha hapana kaka bali ni mhitimu wa chuo kikuu na ni Business Administrator by profession niliebobea katika masuala ya ugavi.

Haah! mbona kama umeona hatari hivyo, usihofu ilikuwa ni kama workshop juu ya maswala ya ujasiria mali sasa ulivyotaja S.W.O.T. nikafikiri ulipitia hizo modules za ILO.

Ila hongera kwa kubobea kwenye maswala ya Uchumi nakushauri ufanye juhudi at least 70% ya uchumi wa taifa wahodhi wazawa.
 
Nikipewa nafasi ntajitahidi mkuu, shukrani sana.
 
Dah wazo zuri sana hili mkuu...vipi kuhusu masoko? Na vipi kuhusu risk ya kuharibika wakati unasubiri kuuza, hizi changamoto waweza deal nazo vipi?

soko la zao kama la karanga ni kubwa na utaauza ukiwa hapo hapo nyumbani gunia 100 za karanga zinatosha kwenye chumba 1 angalizo usije ukazimenya, ili uweze kuzihifadhi kwa muda mrefu zinapaswa ziwe kwenye maganda yake , ttz ni panya watahamia kwenye ghala lako lkn hata waje ukoo mzima watakula debe zisizo zidi 4 kwa mwaka mzima ambayo sioni kama ni hasara,
 
Back
Top Bottom