Mtaji wa 2m Dodoma

teku

Member
Aug 13, 2013
28
45
Habarini wadau wa JF.
Heri ya mwakavmpya 2014.
Mimi ni mfanyakazi wa serikali ndi nimehamia dodoma.
Je kwa mtaji wa 2m naweza kuanzisha biashara gani hapa mjini dodoma?
Mawazo yenu ya muhimu sana wadau.
 
0909Hekima

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
228
225
wazo zuri ni pale utakapo amua fanya research mwenyewe na kuangalia sehemu unayoishi kunahitaji kitu gani ambacho kitatosha na mtaji wako. Cha msingi kiwe feasible.
Ila kwa ushauri tu unaweza anza na tin ya tgopesa Laki 5, mpesa 150, na Airtelmoney 200, then inayobaki iwe mtaji na operating cost nyingine kama kulipia pango, mfanyakazi na mengineyo.
NB: biashara hiyo inalipa sana sehemu yenye watu wengi na mzunguko wa pesa mkubwa.
 
Thnx kaka kwa ushauri wako.
Nitaufanyia kazi
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,172
2,000
wazo zuri ni pale utakapo amua fanya research mwenyewe na kuangalia sehemu unayoishi kunahitaji kitu gani ambacho kitatosha na mtaji wako. Cha msingi kiwe feasible.
Ila kwa ushauri tu unaweza anza na tin ya tgopesa Laki 5, mpesa 150, na Airtelmoney 200, then inayobaki iwe mtaji na operating cost nyingine kama kulipia pango, mfanyakazi na mengineyo.
NB: biashara hiyo inalipa sana sehemu yenye watu wengi na mzunguko wa pesa mkubwa.

Nimependa sana Ushauri wako. Hata Mimi pia Nitaufanyia Kazi! Ubarikiwe Mno.
 
teku

Member
Aug 13, 2013
28
45
Kwa mdau yoyote mwenye wazo lolote mawazo yenu bado yanahitajika.
Mbarikiwe sana.
 
mbuyake

Member
Feb 20, 2013
60
95
kama upo dodoma mjini mimi nashauri kama kazi yako haikubani sana kimbia dar maeneo ya karume kusany mitumba ya mashati yanayowafaa vijana wa kileo nangalia yanayofaa kuchongwa modo na pia suruali zisizo na minyosho ambazo zinafaa kuchonga modo anza na kidogo baada ya hapo soko litakuwa maana vijana wa chuo ni weni sana na na hapo domu soko la nguo ni moja la sabasaba na bei ni kubwa sana za nguo
 
0909Hekima

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
228
225
kama upo dodoma mjini mimi nashauri kama kazi yako haikubani sana kimbia dareneo ya karume kusany mitumba ya mashati yanayowafaa vijana wa kileo nangalia yanayofaa kuchongwa modo na pia suruali zisizo na minyosho ambazo zinafaa kuchonga modo anza na kidogo baada ya hapo soko litakuwa maana vijana wa chuo ni weni sana na na hapo domu soko la nguo ni moja la sabasaba na bei ni kubwa sana za nguo

Hayo unayonena ni kweli kaka mkuu, kama utapata eneo zuri mjini la kuegesha nguo za mtumba hutalala njaa kutokana na potential customers ( wanafunzi wa chuo ) ila zingatia S.W.O.T analysis.
Strength ( mambo yaliyo ndani ya uwezo wako au advantages kwako)
Weakness ( mapungufu yako katika biashara )
Opportunity ( fursa zilizopo ) na mwisho
Threats ( vikwazo au vitishio vya biashara yako ) chochote utakachoshauriwa angalia sana mambo hayo na usisite kaa chini na kuviandika na kuchanganua moja baada ya nyingine itasaidia.
 
Pamoja na hayo hapo juu kuhusu mitumba kwa pale Dodoma kama biashara yako ita segment ( base) ( itaangalia sana) wanafunzi wa chuo kuna dis advantage moja ambayo unaweza iface kipindi baada ya kipindi ambayo itakuwa ni seasona demand, kwani nadhani mauzo yatakuwa sana kipindi cha BOOM na likiisha kuna hatari ya wateja kupungua kutokana nq asilimia kubwa ya wanafunzi kutegemea pato hilo kuendesha maisha yao japo si wote.

Mwisho niseme kuwa wewe ndio msingi wa nyumba kaa chini changanua kabla hujafanya lolote lile.

KINGINE AMBACHO KAMA KUNA MTU ANAWEZA TUPA UJANJA NI HII BIASHARA YA UBUYU. DODOMA HUPATIKANA KWA URAHISI NA BEI CHEE. NA SOKO LAKE ( UBUYU ) NI MAENEO YA PWANI # DSM, ZNZ, TANGA. Waweza kuwa supplier ukauza kwa jumla kama nafasi inaruhusu na pia natoa nafasi kwa wanaofahamu hilo soko maana mi c mjuzi katika hilo eneo nitafaidika pia. Asante.
 
Habarini za mchana wadau. Nimepitia mawazo yenu endelevu nazidi kuyafanyia kazi.
Hili la ubuyu ntalifanyia utafiti halafu ntakuja na marejesho.
Ahsanten sana kwa mawazo kweli JF ni home of great thinkers.
Mbarikiwe sana.
 
OMMY LADY

New Member
Dec 31, 2013
2
0
Habarini wadau wa JF.
Heri ya mwakavmpya 2014.
Mimi ni mfanyakazi wa serikali ndi nimehamia dodoma.
Je kwa mtaji wa 2m naweza kuanzisha biashara gani hapa mjini dodoma?
Mawazo yenu ya muhimu sana wadau.
Ni PM, nina wazo zuri.
 
19don

JF-Expert Member
May 13, 2011
672
250
wekaza kwenye mazao miezi michche ijayo hao ndugu zangu wagogo wataanza kuvuna karanga na kwa tabia yao huuza bei rahisi sana mwanzo wa msimu kwa hy pesa uliyo nayo unaweza pata hata gunia 100 hifadhi , mazao haya ndani baada ya miezi 5 utauza bei mara 3 ya uliyo nunu;lia faida itakuwa zaidi ya 300% hakuna hasara kwenye biashara hii
 
Dah wazo zuri sana hili mkuu...vipi kuhusu masoko? Na vipi kuhusu risk ya kuharibika wakati unasubiri kuuza, hizi changamoto waweza deal nazo vipi?
 
teku

Member
Aug 13, 2013
28
45
wekaza kwenye mazao miezi michche ijayo hao ndugu zangu wagogo wataanza kuvuna karanga na kwa tabia yao huuza bei rahisi sana mwanzo wa msimu kwa hy pesa uliyo nayo unaweza pata hata gunia 100 hifadhi , mazao haya ndani baada ya miezi 5 utauza bei mara 3 ya uliyo nunu;lia faida itakuwa zaidi ya 300% hakuna hasara kwenye biashara hii

Mkuu ahsante kwa ushauri ntaufanyia utafiti.
Hapo sasa itabidi niangalie sasa na njia za kuhifadhi hizo nafaka.
 
hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,561
2,000
Hayo unayonena ni kweli kaka mkuu, kama utapata eneo zuri mjini la kuegesha nguo za mtumba hutalala njaa kutokana na potential customers ( wanafunzi wa chuo ) ila zingatia S.W.O.T analysis.
Strength ( mambo yaliyo ndani ya uwezo wako au advantages kwako)
Weakness ( mapungufu yako katika biashara )
Opportunity ( fursa zilizopo ) na mwisho
Threats ( vikwazo au vitishio vya biashara yako ) chochote utakachoshauriwa angalia sana mambo hayo na usisite kaa chini na kuviandika na kuchanganua moja baada ya nyingine itasaidia.

Bila shaka wewe ni muhitimu wa seminar ya ILO under two Modules of BUWABI and ABIYA.
 
0909Hekima

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
228
225
Bila shaka wewe ni muhitimu wa seminar ya ILO under two Modules of BUWABI and ABIYA.

Hahaha hapana kaka bali ni mhitimu wa chuo kikuu na ni Business Administrator by profession niliebobea katika masuala ya ugavi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom