Mtaji wa 150,000

Mtaji wa 150,000

Ashuraju

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
36
Reaction score
2
habari zenu wanaJF, nina mtaji wa 150,000 naweza fanya biashara gani.naomba ushauri.naishi kurasini..
 
Uza mandazi kama ni mpish mzur.angalia jamii yako inahitaji nini?vibanda vya chips vipo?matunda je?
 
Hapo kurasini tafuta maeneo yenye hostel uza kiepe yai + kuku
 
Back
Top Bottom