Mtaji million sitini(60,000,000) biashara gani?


JF is everything!
 
Duh pole for the D'
ilema,swali langu ni Do you have the Time to do Business Full time.kama jibu ni ndiyo basi utafanikiwa ktk biashara yoyote utakayofanya.kwa mazingira ya Tanzania Business Owner Must Be Around his/her Business 24/7
Tambua yafuatayo :
1.Watanzania (waajiriwa)kwa ujumla wao uaminifu ni 35% ,lazima aaangalie mianya ya kukupiga bao.
2.Ndugu na Jamaa wakijua unapesa kubwa hata kama ya mkopo,watajenga mazingira uwaajiri/uwape mkopo wa biashara-hapo ndio mwanzo wa kuvunja undugu.
3.Kodi za TRA /Serikali agencies za kufuatilia TFDA/TBS/Sumatra/serikali za mitaa lazima watakuwa mgongoni kwako

Kwa mtaji huo ingia ktk Construction business ,ajili Engineer /Technician,nunua vifaa vya kazi e.g Water Bozer ,Dumber or Excavator .utapata tenda mpaka uzikimbie.
 

Thats what we call creativity, big up kwa mawazo mazuri.
 

rekebisha kidogo hizo figure; kama kwa wiki atapata 1,000,000 ina maana kwa mwezi ambao una wiki nne atapata 4,000,000 na kwa mwaka ambao una miezi 12 atapata 48,000,000. Practically maintanance cost itakuwa kubwa ukumbuke gari unazo nunua ni used.
 
rekebisha kidogo hizo figure; kama kwa wiki atapata 1,000,000 ina maana kwa mwezi ambao una wiki nne atapata 4,000,000 na kwa mwaka ambao una miezi 12 atapata 48,000,000. Practically maintanance cost itakuwa kubwa ukumbuke gari unazo nunua ni used.

Wewe ndo rekebisha the way yo think.

I talk about weeks you talk about months. Mwaka una wiki 52. Double check that.

For first one year hakuna maintenance kubwa yoyote. He can sell the buses after 1 or 2 years.

Maintenace is once in a month and it costs only TZS 100,000/= that is general services.

Even if you set aside 10% for maintenance, the money is still cool.

Even after paying TRA, etc something close to TZS 750,000/= ina year you are still OK.

ask me your next question or challenge me!
 
...tatizo sugu la mgao wa umeme nchini, lazima akili iingie jinsi ya kuzi invest tshs 60m kwenye biashara bila presha ya kuipoteza nyumba kwenye mnada.

Wakati huo huo, kuna opportunity za kibiashara kwenye hii kaadhia ya Mgao wa Umeme nchini...
 
Hi mimi nina deal ya kusafirisha mizigo nje hasa DRC na zambia tatizo ni gari kwa hiyo hela tunaweza kupata lorry moja nipigie
0717326072
 



Duuuuuuuh,Bonge la Proposal la Biashara,Umeniacha mdomo wazi!!
 
rekebisha kidogo hizo figure; kama kwa wiki atapata 1,000,000 ina maana kwa mwezi ambao una wiki nne atapata 4,000,000 na kwa mwaka ambao una miezi 12 atapata 48,000,000. Practically maintanance cost itakuwa kubwa ukumbuke gari unazo nunua ni used.
Wewe ndio wa kurekebisha hesabu zako. Mwaka mmoja una wiki 52, sio kila mwezi una siku 28 yaani sawa na wiki 4 (7x4), kuna miezi ina siku 29, 30, 31....hizo bakia ndio zinazocover wiki 4 baada ya 28 kwenda 32, kifupi chukua 365/7.....
 

upo creative sana. Ubarikiwe.
 
your genius dude! I love u!
 

babalao kwa marketing haujambo. sasa si utoe ushauri wako hapahapa? dah, jamaa mjasiriamali wewe
 





Note: Kwa biashara ya daladala, sumatra haisajiri gari zilizozidi miaka kumi.
 
Nawapongeza kwa wote waliotoa ushauri, anayeshauriwa ndie ataamua ni upi ulio bora kwa mazingira yake utafaa,
Nashauri azingatie utafiti wa kutosha kabla ya kuingia hasa kwa muda mrefu,
mfano kama atahitaji statstics za Hardware Retail business mm naweza kumpa za kutosha na hata za Dala dala kwa Dar three yrs experience, na micro lending n.k.
Pili hakuna business duniani isiyo na risk muhimu sana ni ku- compare hizo business zote ni ipi ina return kubwa zaidi ya zingine kwa kulinganisha na risk zake husika(risk/return trade off)




Mfano through my exerience kwa hiyo niliyotaja 1.microlending. 2.Dala dala 3.Hardware..

Tatu nigependa kukushauri ilikupunguza risk sbb pesa sio zako ni mkopo usijiigize kwenye Idea mpya kwani mara na nyingi sana zinaambatana na risk kubwa sana na hata kama zinavutia sana kwani ni soko pekee linaloweza kuthibitisha kuwa is the right and viable idea at the right time,right place, right customer,right price n.k kwa ujumla sio kutisha bali factors nyingi sana yawezekana usizione na pana mifano mingi sana khs New Ideas na New Products sokoni. labda baada kuimarika kiuchumi...

Nne fikiria kitu muhimu TAHADHARI pana namna nyingi ikiwemo mmoja ametaja Issuarance, napenda nikuongezee DIvesfication kwa kiswahili tunasema usiweke mayai yako yote kwenye kikapu kimoja. ukiweza wekeza kwenye miradi miwili au hata mitatu kwa namna hii utapunguza risk ya kupoteza sana kwa maana endapo mradi mmoja haukulipa iliyobaki itakukomboa japo pana shida ya management na concetration lkn BORA PITA MBALI SALAMA..

Nisinge kushauri Malori, Stock market share(hisa), Vile vile sina uhakika na Civil Construction Contracts, na hata temprary projects ambazo mradi ukiisha unaanza upya kutafuta kazi mitaani hadi ulichopata kinaisha tena, GO FOR LONG TERM PLAN- INVESTMENT/BUSINESS..
 
Kama huko tayari mkuu nakupa deal ili hapa.Mimi nina ardhi yakutosha kwa ujenzi wa hostel za wanafunzi hapa mkoani Kagera karibu na St.Augustin University Bukoba.Wanafunzi wengi wakaa mbali na chuo then ukijenga karibu hostel utawapata wengi.
 

Bwana Davidson, kudos kwa kuja hapa JF na kuomba msaada wa mawazo ya biashara gani ufanye.

Kwa upande wangu, mie ushauri wangu ni huu.
Hio 60m/-, jaribu kuigawanya kwa 365.
Utapata kama 165,000/-.
Izidishe kwa 2.
Utapata 330,000/-.
Hii inaamanisha, haijali ufanye biashara gani, so long as, kila siku ya mungu. Lazima biashara yako iwe inaingiza sio chini ya 330,000/-, Ili uweze kulipa deni, kuishi na kutengeneza faida.
Ukiingiza labda 412,500/-, kwa mark up ya 2.5, ndio itakua bomba mno.

Kila la heri.
 


Very wrong maths, whaaat is this...!!!!
Here we go simple...
60,000,000 loan, Interest rate say 25%, watch out here most banks claim IR of 20% of which is not or is around 25% or more a bit
So total returns ni 75,000,000 in 2 yrs
i.e 2yrs = 730 days
So 75,000,000/730 = 102,739.726
Apprx. 103,000 daily hapa atakuwa anaweza kulipa deni lote bila yeye kuchukua chochote
So each day he MUST MAKE MORE THAN tshs 103,000 kila siku
kwa miaka 2 ili apate faida ( msisitizo apate zaidi ya tshs 103,000 kwa siku kwa miaka miwili ili apate faida ) na si 330,000 daily...
Great day ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…