October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
.
Nasikiaga Bahressa alikuwa mshona viatu, hivi aliwezaje kutoboaNi ngumu sana nasisitiza sio mchezo yaani maskini kufanikiwa ni kama bahati ni ngumu sana tupeane moyo lakini mwenye nacho kupata zaidi ni rahisi sana. Mungu ni mwema sana tuzidi kumtumaini huwa hadanganyi kabisa.