Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Madame Rogath (jina la shule nalihifadhi) nitakukumbuka daima mama,sitokaa niusahau wema wako ulionifanyia milele.
Nakupenda sana,Mungu akupe maisha marefu.
 
Primary -Mwalimu GIGE huyu alikuwa wa Math na yeye ndiye alinifanya niwe genius wa hili somo, kutoka kuliona gumu, mpka kuwa rahisi mno , kupitia msingi wake na kanuni zake nilikuwa naliona simple ni mwendo wa msonge tu from primary up to chuo, big up to him, Jah bless him.

O level, ticha mwaka , huyu alikuwa ananikubali kinoma sana, ila hakuwahi kudhihirisha hilo, yeye hakua tofauti na gige , alinichana wazi , na kunambia you are Genius na alinifanya nikaze msuli na kuwa mkali wa masomo yote class ,na siku zote kaauli yake ya usiniangushe nataka single digit div , but punguza utundu japo sikuipata single digit div ila historia bora ya matokeo ilibaki pale.
pia bila kuwasahau ---Moodi physics mkali, huyu jamaa alinifanya pyz nione rahisi mno, mbuga huyu jamaa alinifanya niyaone maomo ya chemistry na bios simple pia daah, yaani yalikuwa naked , mpaka nikawa naona A ni kitu cha kawaida sana, enzi za kina Bwaka Bwaka mzee wa PUGU boys.
Bila kumsahau mchawi wa Namba , Hidden
 
Mchikichini classic co poa
 
Akukukaza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…