Mtafute Mungu maadam anapatikana

Mtafute Mungu maadam anapatikana

Bk boy

Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
19
Reaction score
17
Hello

Nafuraha nikiwa kijana ninae mtumikia mungu wakati wa ujana wangu

Ingawa tunapitia kwenye mambo mengi magumu na ya kukatisha tamaa ila tunatumainii mungu yupo siku zote ishi maisha ya uhalisia mpende Mungu jali mda wa ibada ishi maisha ya kitakatifu

Mkono wa Mungu uwe pamoja na ww kabla hujalala chunguza njia zako kisha ungama mungu yupo kwa ajili yako...

 
SIKU MBAYA ZINAKUJA WAKUU,TUTAYATAFUTA MANENO YA MUNGU HATUTA YAONA
 
ndiyo kaka sahihi usemacho maana dunia inaendaa kasii na haina break
 
Kwani wewe huwezi tu kusema anapopatikana kama ushampata utuambie tuteleze kwenye ganda la ndizi....

#Ninachojua Mimi Mungu sio mchoyo


Acha uchoyo Blaza...tuambie na sisi nduguzo
 
Back
Top Bottom