Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempachika MIMBA huku mzee akiwa ameshikwa na ghadhabu na uchungu pamoja na hasiri yakufa mtu.
walipofika mambo yalikua hivi;.
KIJANA;mzee karibu nyumbani, je nikusaidie nini?
MZEE;sina haja ya kukaribia ndani kwako, nataka kujua umekosa mwanamke wa kumpa mimba mpaka ukamuharibia masomo mwanangu?
KIJANA;ni kweli mimi nimempa mimba binti yako, ila natoa ahadi mwanao akizaa mtoto wa kiume nakupa daladala tano,sheli mbili na milioni 50 za mtaji. Ia endapo atazaa mtoto wa kike nitakupa supermarket moja, mashamba mawili na milioni 30.
BINTI;mimba ikitoka?
MZEE;nyamaza pumbavu mkubwa wewe, si atakupa nyingine.
TOENI MITAFARUKU MINGINE ILIYOTOKANA NA MIMBA.